3 Agricultural Officers II Jobs at Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
3 Agricultural Officers II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)

Deadline of this Job:
20th August 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, August 07, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
  Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Kilimo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Halmashauri ya Jiji la Arusha, Halmashauri ya Wilaya ya Lindi, Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Halmshauri ya Wilaya ya Muheza na Halmashauri ya Wilaya ya Makete anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 44 kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili.
Afisa Kilimo Daraja La II (Agricultural Officer II) – NAFASI (3).

MAJUKUMU YA KAZI
• Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea;
• Kukusanya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila mwezi;
• Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko kila wiki/mwezi;
• Kuendesha mafunzo ya wataalam wa kilimo;
• Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na zana;
• Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara;
• Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na maji;
• Kutoa habari juu ya teknolojia mpya kwa wadau;
• Kuandaa/kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta ndogo ya mazao;
• Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga, matunda, maua na mazao mengine;
• Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora;
• Kuandaa, kutayarisha kufunga na kusambaza mbegu bora;
• Kufanya majaribio ya magonjwa kwenye mbegu;
• Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na watafiti wa mbegu kabla ya kupitishwa;
• Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mboga, matunda, maua na viungo;
• Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani;
• Kufanya utafiti mdogo mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa katika sehemu ya kilimo cha umwagiliaji;
• Kufanya utafiti wa udongo;
• Kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vya wakulima/wamwagiliaji;
• Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na watafiti; na
• Kuendesha/kusimamia vishamba vya majaribio vya mbegu na uchunguzi maabara ili kuondoa utata juu ya mbegu..


Job Skills: Not Specified


A ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa wenye shahada ya Kilimo au shahada ya Sayansi waliojiimarisha katika mchepuo wa kilimo kutoka Chuo kikuu cha Kilimo Sokoine au Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA: Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS D

 

{module 312}

Job application procedure
  Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo; http://portal.ajira.go.tz/  (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)
MUHIMU: KUMBUKA KUAMBATISHA BARUA YAKO YA MAOMBI YA KAZI ILIYOSAINIWA PAMOJA NA VYETI VYA ELIMU. ANUANI YA BARUA HIYO IELEKEZWE KWA
KATIBU,
OFISI YA RAIS,
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
BARARABA YA 8, JENGO LA UTUMISHI, KIVUKONI
S.L.P 63100,
11102 DAR ES SALAAM.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 20th August 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 19-08-2019
No of Jobs: 3
Start Publishing: 19-08-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-08-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.