Kattbu Mahsusi III Job at Iringa Municipal Council - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Kattbu Mahsusi III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Admin & Office ]

Jobs at:

Iringa Municipal Council

Deadline of this Job:
06 October 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Iramba , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, September 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
(Barua zote zielekezwe Kwa Mkurugenzi wa Halmashaurl)
Kumb. Na. IMC/S.20/VOL.I/20
Tarehe 23l09l2O2O

TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa amepokea kibali cha Ajira Mbadala chenye kumb Na.Fa170/363/0A”TEMP’/133 cha tarehe 18 Agosti, 2020. Ili kuziba nafasi hizo Mkurugenzi anawatangazia watanzania wote wenye sifa na umri wa miaka 18 hadi 45 kuomba nafasi hizo .

Majukumu ya kazi
• Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida'
• Kusaidia kupokea wageni na kuwasilisha shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
• Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matuftlo, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anayofanyia kazi na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
• Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, lyaraka na kitu chochote • kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo dfislq1i,
• Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kuwaarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao. ,
• Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha selgm.u zinazohusika.
• Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiraiaiia msimamlzi wake wa kazi.


Job Skills: Not Specified


Sifa za Waombaji
Waombaji wawe wamehitimu kidato cha nne au cha sita, waliohudhuria mafunzo ya Uhadhiri na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya 'Computer' kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika Program za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI KWA UJUMLA
• Mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika Idara yoyote atakayopangiwa
• Mwombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Mwombaji aambatishe maelezo yake binafsi (Cvi
• Mwombaji aambatishe nakala ya vyeti vya uendeshaji magari (Taaluma) vyeti vya Kidato cha IV, Cheti cha Kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina kwa nyuma, nakala hizo zithibilishwe na Hakimu au Wakili.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 06 Octoba, 2020 Saa 9:30 Alasiri.
Maombi hayo yatumwe kwa anwani ifuatayo;-
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA,
s.L.P. 162,
IRINGA.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 06 October 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 28-09-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 28-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 28-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.