Msaidizi Wa Kumbukumbu II Job at Iringa Municipal Council - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Msaidizi Wa Kumbukumbu II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Admin & Office ]

Jobs at:

Iringa Municipal Council

Deadline of this Job:
06 October 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Iramba , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, September 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
(Barua zote zielekezwe Kwa Mkurugenzi wa Halmashaurl)
Kumb. Na. IMC/S.20/VOL.I/20
Tarehe 23l09l2O2O

TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa amepokea kibali cha Ajira Mbadala chenye kumb Na.Fa170/363/0A”TEMP’/133 cha tarehe 18 Agosti, 2020. Ili kuziba nafasi hizo Mkurugenzi anawatangazia watanzania wote wenye sifa na umri wa miaka 18 hadi 45 kuomba nafasi hizo .

Majukumu ya kazi
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi
• Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (flle rakes/cabinets) katika masjala/nyumba vya kuhifadhia kumbukumbu
• Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka nk) katika mafaili.
• Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali


Job Skills: Not Specified


Sifa za Waombaji
Waombaji wawe wamehitimu kidato cha nne au cha sita, wenye cheti cha Utunzaji Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya masijala Mahakama na Ardhi.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI KWA UJUMLA
• Mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika Idara yoyote atakayopangiwa
• Mwombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Mwombaji aambatishe maelezo yake binafsi (Cvi
• Mwombaji aambatishe nakala ya vyeti vya uendeshaji magari (Taaluma) vyeti vya Kidato cha IV, Cheti cha Kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina kwa nyuma, nakala hizo zithibilishwe na Hakimu au Wakili.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 06 Octoba, 2020 Saa 9:30 Alasiri.
Maombi hayo yatumwe kwa anwani ifuatayo;-
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA,
s.L.P. 162,
IRINGA.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 06 October 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 28-09-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 28-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 28-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.