Afisa Vijana Daraja la II Job at Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Afisa Vijana Daraja la II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

Deadline of this Job:
21st June 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Pemba , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, June 17, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo kama ifuatavyo: - Afisa Vijana Daraja la II .

Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Community Development kutoka katika
Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  Jinsi ya Kuomba:
• Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo: -
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
• Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo: -
• Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
• Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
• Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
• Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
• N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake
• hayatazingatiwa.
• Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 21 Juni, wakati wa saa za kazi


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 21st June 2019
Duty Station: Pemba, Zanzibar
Posted: 17-06-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 17-06-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 18-06-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.