Vacancy title:
Opportunity
Jobs at:
Nathanai CompanyDeadline of this Job:
30th June 2019
Summary
Date Posted: Thursday, June 13, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Tangazo la nafasi za kazi ya ulinzi Kampuni ya ulinzi ya nathanai iliyopo ubungo riverside dar es salaam mkabala na shule ya msingi kibangu inatangaza nafasi za kazi ya ulinzi kwa mikoa ya Dar es salaam na dodoma .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA MUOMBAJI
• Awe mwaminifu
• Awe amepitia mafunzo ya ulinzi
• Awe mzoefu katika maswala ya ulinzi
• Awe mtanzania mwenye umri wa miaka 18 hadi 45
• Awe na wadhamini wawili wanaotambulika kikazi na Makazi.
• Ajue kusoma na kuandika
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Maombi yaletwe ofisini moja kwa moja na muombaji mwenyewe. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0768 - 822472 /0677- 023523 (dar es sala).
Kwa dodoma ofisi ipo bahi road. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0653 - 000004.
Mwisho wa kupokea maombi ni 30/06/2019
BY UTAWALA 12/06/2019
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.