2 Dereva Vivuko/ Mashua Job at Tanzania Electrical, Mechanical and Services Agency (TEMESA) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
2 Dereva Vivuko/ Mashua

[ Type: FULL TIME , Industry: Engineering Service , Category: Management ]

 

Jobs at:

Tanzania Electrical, Mechanical and Services Agency (TEMESA)

Deadline of this Job:
30th September 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, September 19, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa Sheria Na 30 ya mwaka 1997. Majukumu yake makubwa ni kutoa huduma za matengenezo ya magari na mitambo, huduma za Umeme ikiwa ni pamoja na kufanya matengenezo ya taa za barabarani, kufanya matengenezo ya majokofu, viyoyozi na kufanya matengenezo ya mifumo ya TEHAMA na vifaa vya elektroniki, kutoa huduma za vivuko na huduma za ushauri. Mkuu wa Kivuko cha Magogoni Dar es Salaam, katika kuhakikisha kuwa majukumu ya Wakala yanat kelezwa vizuri, anatangaza nafasi za kazi za muda kama ifuatavyo: .

Sifa za mwombaji: • Awe na elimu ya kidato cha nne • Awe na ujuzi wa kuendesha na kutunza Kivuko Mashua uliothibitishwa na Chuo cha Dar es Salaam Marine Institute (DMI) au chuo kingine chochote kinachotambuliwa na Serikali kwa muda usiopungua miaka miwili. (Rating of Navigation Watch/Refresher Rating Awe amehitimu mafunzo ya uendeshaji wa vyombo vya majini walau daraja la nne (Navigation watch class iv) na uokoaji wa maisha majini na kuogelea Awe na uzoefu wa kupanga mizigo kwenye boti bila kuathiri usalama wa mhimili (ship stability).


Majukumu
• Kuendesha na kuongoza Vivuko/Mashua. Kuchunga usalama wa abiria na magari yaliyomo ndani ya Vivuko/Mashua Kusimamia upakiaji wa abiria na magari kwenye Vivuko/Mashua.
• Kuangalia mafuta na vyombo vingine vya kufanyia kazi Kuhakikisha kwamba injini ya Vivuko zipo katika hali nzuri ya kufanya kazi Kutunza daftar la safari za Vivuko/ Mashua.
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 isipokuwa kwa Watumishi wa Umma.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti husika, picha mbili ndogo (passport size) za mwombaji na taarifa binafsi (curriculum vitae) ya mwombaji. Waombaji watakaokuwa na sifa zinazohitajika ndio watakaoitwa kwenye usaili.
• Barua za maombi, zitumwe kwa:
MKUU WA KIVUKO,
KIVUKO CHA MAGOGONI TEMESA,
S.L.P. 9691, DAR ES SALAAM.
N.B. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/09/2019


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30th September 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 19-09-2019
No of Jobs: 2
Start Publishing: 19-09-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.