Job Information
4 Afisa Ushirika Daraja la II Jobs at Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) - Career Opportunity in Tanzania
Overview
Job Type: Full-Time
Job Category: Government
Posted: 12-06-2019
Deadline of this Job: 14th June 2019
Duty Station: Zanzibar, Tanzania
Requirements
Job Status
Start Publishing: 12-06-2019
No of Jobs: 4
Stop Publishing (Put date of 2030): 13-06-2065
Share on Google+ Linkedid Twitter Share on facebook
Job Description

Vacancy title:
4 Afisa Ushirika Daraja la II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

Deadline of this Job:
14th June 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Zanzibar , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, June 12, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar (Smz)
Tangazo La Nafasi Za Kazi Wizara Ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake Na Watoto
Posted: 2019-06-11 12:07:58
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake na Watoto kama ifuatavyo:-
Afisa Ushirika Daraja la II .

Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani Ushirika kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills:Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

Job application procedure
Jinsi ya Kuomba:
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU,
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.
Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.
Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
• Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo
• Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
• Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
• Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
• Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake hayatazingatiwa. Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 14 Juni, 2019 wakati wa saa za kazi.


All Jobs

 

Apply Now

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Always find the list of all available jobs at greattanzaniajobs.com/jobs