Udereva wa mabasi Job at New Force Enterprises Limited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2179 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Udereva wa mabasi

Jobs at:
New Force Enterprises Limited

Deadline of this Job:
17th November 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 13th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
Kampuni ya mabasi ya new Force Enterprises Ltd, ifanyayo safari mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Kyela, Tunduma, Sumbawanga na Songea.
Inatangaza nafasi ya kazi ya Udereva wa mabasi ya masafa marefu.

Sifa za mwombaji

  • Leseni ya udereva daraja C yenye umri wa miaka mitatu na kuendelea
  • Cheti cha mafunzo ya udereva wa mabasi (PSV) kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji (NIT)
  • Cheti cha mafunzo ya ufundi
  • Uzoefu wa kuendesha mabasi ya safari ndefu kwa zaidi ya miaka mitatu

Barua ya kuomba kazi lambatanishwe na

  • Nakala ya leseni ya udereva na vyeti vya taaluma
  • Barua mbili za wadhamini zilizodhibitishwa na mtendaji wa mtaa unakoishi
  • Barua yako ya maombi ipitishwe na mwajiri waako unapofanyia kazi
  • Picha ya mwombaji (passport size)

Job application procedure
Barua zote za ziandikwe kwenda kwa
MKURUGENZI MKUU
S.L.P 55166
DAR ES SALAAM

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17th November 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 13-11-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 13-11-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 13-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.