Mkusanya Mapato Job at Dar es Salaam Bus Rapid Transit (DART) - Career Opportunity in Tanzania

Vacancy title:
Mkusanya Mapato

[ Type: FULL TIME , Industry: Transportation, Distribution, and Logistics , Category: Transportation & Logistics ]

 

Jobs at:

Dar es Salaam Bus Rapid Transit (DART)

Deadline of this Job:
24th July 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, July 18, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Kumb Na: AB.23/134/01-G/101 17 JULAI, 2019 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka, anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi ishirini na nne (26) kama zilivyobainishwa katika tangazo hili. 20 .

SIFA ZA MUOMBAJI. Awe na elimu ya Kidato cha nne na amehitimu elimu ngazi ya cheti katika fani zifuatazo (Uhasibu, Biashara, Manunuzi, Takwimu, Hisabati) kutoka chuo vinachotambuliwa na Serikali.


  MAJUKUMU YA KAZI.
• Kukusanya fedha zote katika maegesho ya magari pamoja na sehemu za huduma ya choo,
• Kukusanya takwimu za magari yanayoegeshwa kwa siku pamoja na takwimu za watumiaji wa choo kwa siku,
• Kuandaa hesabu za makusanyo ya kila siku kwa kutumia fomu za RCCB,
• Kutunza fedha zote za makusanyo ya siku na kuhakikisha Usalama wa fedha hizo kabla hazijafika ofisini,
• Kufanya kazi nyingine


Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MSHAHARA: Kima cha mshahara kwa nafasi zote ni shilingi 310,000/=
MASHARTI YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania,
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa,
• Waombaji wote wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 45,
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees)watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya kidato cha nne, taaluma, kwa wale waliohitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika waambatanishe vyeti vya mafunzo husika.
• Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na Baraza la Mitihani Tanzania – (NECTA).
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Maombi yote yatumwe kwa: –
MTENDAJI MKUU,
WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA,
S.L.P 724,
DAR ES SALAAM.
Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 24 Julai, 2019.
Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili
HAYATAKUBALIWA.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 24th July 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 18-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 18-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 19-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.