Job Information
Mvuvi Msaidizi II Job at Public Service Recruitment Secretariat - Career Opportunity in Tanzania
Overview
Job Type: Full-Time
Job Category: Government
Posted: 14-02-2020
Deadline of this Job: 27th February 2020
Duty Station: Tanzania
Requirements
Job Status
Start Publishing: 14-02-2020
No of Jobs: 1
Stop Publishing (Put date of 2030): 15-02-2065
Share on Google+ Linkedid Twitter Share on facebook
Job Description

Vacancy title:
Mvuvi Msaidizi II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Management ]

 

Jobs at:

Public Service Recruitment Secretariat

Deadline of this Job:
27 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, February 14, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS EKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/ K/155 13 Februari, 2020
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za kazi ishirini na tatu (23) kama zilivyoainishwa hapa chini. .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kutengeneza, kushona, kutunza na kukarabati zana za uvuvi;
• Kutunza na kuangalia mabwawa ya Samaki;
• Kutega mitego Ziwani au Baharini;
• Kutengeneza nyavu ndogo ndogo;
• Kuwapa chakula samaki katika mabwawa;
• Kuvua samaki katika mabwawa; • Kutoa ushauri kwa wavuvi kuhusu mbinu mbalimbali za uvuvi;
• Kukusanya takwimu za uvuvi kutoka kwenye vituo vya kupokelea Samaki;
• Kutoa ushauri juu ya uhifadhi wa samaki na mbinu za usambazaji na uuzaji wa mazao yatokanayo na samaki; na
• Kuwaelimisha wananchi juu ya ufugaji wa Samaki na mambo muhimu ya kuzingatia.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI: Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye stashahada (Diploma) ya Uvuvi au Uhifadhi wa Samaki na Masoko (Fish Processing & Marketing) kutoka vyuo vya uvuvi vya Mbegani, Kunduchi au vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
MSHAHARA: Kwa kuzingatia ngazi za Mishahara ya Serikali TGS.C


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

Job application procedure
Masharti Ya Jumla Kwa Kazi Zote
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45. • Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa Waajiri wao.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu zinazopatikana pamoja na majina ya Wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
- Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni.
• Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU au NECTA).
• Waombaji wa nafasi za Ajira waliostaafishwa/kuachishwa kazi katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
• Waombaji kazi ambao tayari ni Waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Februari, 2020.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA.
• Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;- http://portal.ajira.go.tz/  (Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya Ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Notification Board:

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join.

Apply Now

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Always find the list of all available jobs at greattanzaniajobs.com/jobs