Afisa Mwandikishaji Job at National Electoral Commission - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1871 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Afisa Mwandikishaji

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

National Electoral Commission

Deadline of this Job:
27th November 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, November 27, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kufanya zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Tanzania Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume inatangaza nafasi za kazi ili kupata Watendaji watakaosimamia zoezi hilo. Kazi hizo ni zifuatazo: Afisa Mwandikishaji (Nafasi moja kwa kila Wilaya) .

Majukumu
• Kuratibu na kusimamia shughuli za Uandikishaji katika Wilaya yake.
• Kusimamia na kufuatilia utendaji kazi wa Watendaji wa Uandikishaji walio chini yake.
• Kutunza vifaa vya Uboreshaji katika Wilaya husika.
• Kusimamia matumizi ya fedha za Uandikishaji.
• Kushirikiana na kushauriana na Mratibu wa Uandikishaji katika kuleta ufanisi kwenye shughuli za Uandikishaji/Uboreshaji.
• Kutoa taarifa ya mwenendo wa hatua za uandikishaji kwa kuzingatia maelekezo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Job Skills: Not Specified


Sifa za Afisa Mwandikishaji
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe mtumishi wa Umma.
• Awe na Shahada au stashahada ya juu au Stashahada katika fani yoyote.
• Awe mkazi wa Wilaya husika.
• Awe muadilifu na mwaminifu.
• Awe tayari kujituma na kuweza kufanya kazi bila ya usimamizi wa karibu.
• Awe na uzoefu katika masuala ya Uandikishaji/Uchaguzi.

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
Kila Mwombaji katika nafasi husika aainishe nafasi anayoiomba akitaja Wilaya au Jimbo analotaka kufanyia kazi na aambatishe maelezo ya taarifa binafsi (CV). Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 27 Novemba, 2019.

BBarua zote zielekezwe kwa:
Mkurugenzi wa Uchaguzi,
Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
S. L. P. 10923, DAR ES SALAAM.
NB: Kwa urahisi maombi yote yatapokelewa Unguja - Ofisi ya ZEC - Maisara, Unguja. Pemba - Ofisi ndogo ya ZEC - Chakechake, Pemba.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 27th November 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 27-11-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 27-11-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 28-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.