10 Secondary School Teachers Job at TAMISEMI - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1515 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
10 Secondary School Teachers

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Education ]

Jobs at:

TAMISEMI

Deadline of this Job:
21 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, September 08, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa
Tangazo La Nafasi Za Ajira Ya Walimu Wa Shule Za Msingi Na Sekondari
Utangulizi
Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa nafasi za ajira ya Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Kwa sababu hiyo, Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia walimu wenye sifa kutuma maombi yao kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi cha ajira.tamisemi.go.tz (Online Teacher Employment Application System - OTEAS).
Walimu wanaotakiwa kutuma maombi ni wenye sifa za kitaaluma kama ifuatavyo: .

WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI
I. Mwalimu Daraja la IIIB - mwenye Stashahada (Diploma) ya Ualimu waliosomea Elimu Maalum kwa masomo ya English Language, Geography, Physics na Mathematics;
II. Mwalimu Daraja la IIIB - mwenye Stashahada (Diploma) ya Ualimu wa masomo ya Physics, Mathematics, Biology, Chemistry, Home Economics na Agricultural Science;
III. Mwalimu Daraja la IIIC - mwenye Shahada ya Ualimu waliosomea Elimu Maalum kwa masomo ya English Language, Geography, Physics na Mathematics;
IV. Mwalimu Daraja la IIIC - mwenye Shahada ya Ualimu wa masomo ya Physics, Mathematics, Chemistry na Biology.
V. Mwalimu Daraja la IIIC - mwenye Shahada ya Ualimu wa masomo ya Agricultural Science, English Language, English Literature, Chinese, French, Book Keeping, Commerce, Accounts, Economics na Home Economics/Food and Human Nutrition; Wahitimu wa Stashahada (Diploma) ya Ufundi na Shahada ya Uhandisi Ujenzi (Civil Engineering). Uhandisi Mitambo (Mechanical Engineering), Uhandisi Umeme (Electrical Engineering) na Electronic Engineering ambao wataajiriwa kama Walimu Daraja la IIIB na Daraja la IllC; na vii.
VI. Fundi Sanifu Maabara - wahitimu wa Stashahada (Diploma) ya Ufundi Sanifu Maabara na Stashahada ya Sayansi na Teknolojia ya Maabara.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA JUMLA ZA MWOMBAJI
Mwombaji wa nafasi zilizoainishwa hapo juu awe na sifa za jumla zifuatazo:
• Awe ni Mtanzania;
• Awe amehitimu kati ya mwaka 2014 hadi 2019.
• Asiwe na umri wa zaidi ya miaka arobaini na tano (45);
• Walimu waliowahi kutuma maombi na hawakupata nafasi za ajira wanaweza kutuma maombi upya;
• Walimu waliowahi kuajiriwa Serikalini hawatakiwi kutuma maombi; na
• Kila mwombaji wa ajira ya Ualimu ahakikishe ana Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au namba ya NIDA.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MWISHO
Maombi yote ya ajira yatumwe kupitia kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI kama ulivyooneshwa kwenye tangazo hili. Hakuna maombi yatakayopokelewa kwa njia tofauti na iliyoelekezwa. Waombaji wanatakiwa kutuma maombi yao kuanzia tarehe 07/09/2020 hadi 21/09/2020.

Imetolewa na:
Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais - TAMISEMI.
DODOMA.
7 Septemba, 2020


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Education/ Academic/ Teaching jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 21 September 2020
Duty Station: Dar Es Salaam
Posted: 08-09-2020
No of Jobs: 10
Start Publishing: 08-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 08-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.