104 Tax Collectors at Ubungo Municipal Council
1195 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
104 Tax Collectors

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Ubungo Municipal Council

Deadline of this Job:
30 September 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, September 20, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
104 Vacancies at Ubungo Municipal Council September, 2021. Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province. Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo. anapenda kuwatangazia nafasi za ajira za Mkataba kwa nafasi za kazi za muda kwa vibarua wakusanya ushuru na usafi katika Masoko, Stendi ya Magufuli na Mawasiliano ya Manispaa ya Ubungo Watanzania wote wenye sifa zifuatazo:

Mkusanya Ushuru (Makarant) - Nafasi 104
SIFA:
• Awe Raia wa Tanzania
• Awe amehitimu na kupata Cheti cha Kidato cha Nne Sita
• Asiwe mwajiriwa wa Serikali
• Awe na umri usiozidi miaka 45

Kazi Na Majukumu
• Kukusanya ushuru katika Masoko, Stendi ya Magufuli na Mawasiliano va Manispaa
• Kutunza kumbukumbu za hesabu
• Kutunza vizuri mashine za kukusanyia mapato (POS)
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake

Mshahara Shilingi 200,000/=(Laki Mbili Kwa Mwezd)

Maombi Yaambatanishwe Na:
• Nakala ya Cheti cha Kidato cha Nne
• Nakala za vyeti vya taaluma kama vipo
• Nakala ya cheti cha kuzaliwa
• Nakala ya cheti Mgambo au JKT
• Maelezo binafsi (CV)
• Picha (Passport Size 2) za hivi karibuni
• Barua ya maombi ipitie kwa Mtendaji wa Mtaa na Kata anapoishi
• Nakala ya vyeti lazime vithibitishwe na Hakimu au Wakili

Education Requirement: No Requirements

Job Experience: No Requirements

Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
NB: Waombaji wenye sifa zaidi ya zilizotajwa hapo juu maombi yao hayatafikiriwa
Para zote za maombi ziandikwe kwa mkono, nikiwa na anwan na Mwombaji pamoja na namba ya simu na zitumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Wa Halmashauri Manispaa Ya Ubungo S.L.P. 55068 Dar Es Salaam
Tarehe Ya Mwisho Ya Kupokea Maombi: Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30/09/2021 saa 9.30 Alasiri.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30 September 2021
Duty Station: Dar es Salaam
Posted: 20-09-2021
No of Jobs: 104
Start Publishing: 20-09-2021
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.