Vacancy title:
1822 Assistants Superintendent of Polling Station
Jobs at:
Dodoma City CouncilDeadline of this Job:
27 September 2020 Â
Summary
Date Posted: Tuesday, September 22, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA
JIMBO LA DODOMA MJINI
Kumb. Na. HJD/E.20/2/40
Tarehe 21/09/2020
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Dodoma Mjini kwa kuzingatia kanuni ya 14 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za Mwaka 2020 na kanuni ya 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kama ifuatavyo: Msimamizi Msaidizi Wa Kituo Cha Kupigia Kura (Nafasi 1822). .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA MSIMAMIZI AU MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA
• Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
• Asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa;
• Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
• Awe amemaliza elimu ya kidato cha nne (4) au zaidi na anaweza
• kusoma na kuandika vizuri. Pia, anayeweza kuyaelewa Maelekezo ya
• Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura; na
• Ikiwezekana awe mkazi wa kata ambayo anaomba.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
Â
{module 312}
Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili. Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma, nakala za Vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Tangazo hili.
• Waombaji waambatishe picha mbili ‘Passport size' za hivi karibuni.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao. Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Septemba , 2020.. Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la Dodoma Mjini,
S. L. P 1249,
Dodoma.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.