2 Afisa Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III Job at Kibondo District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1521 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Afisa Mtendaji Wa Kijiji Daraja La III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Kibondo District Council

Deadline of this Job:
05 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, October 26, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kupitia Kibali cha Ajira Mbadala kwa Watendaji wa Vijiji, Kibali chenye Kumb. Na. FA 170/358/01’B’/92 cha tarehe 07 Agosti, 2020 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais. Mkurugenzi Mtendaji anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kuomba kazi ili kujaza nafasi za kazi ya AFISA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III. .

SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji anatakiwa awe na cheti cha kufaulu Kidato cha Nne (IV) au cha Sita (VI) na waliohitimu mafunzo ya Cheti (Astashahada) katika fani zifuatazo: Utawala, Uongozi na Usimamizi wa Fedha, Sheria, Elimu ya Jamii, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.


Job Skills: Not Specified


KAZI NA MAJUKUMU
• Kuandaa taarifa za Utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini na kuongeza uzalishaji mali.
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
• Kiongozi wa wataalam (watumishi wa serikali) katika kijiji.
• Mhasibu (Afisa masuuli) na Mtendaji Mkuu wa kazi za kila siku za Serikali ya Kijiji.
• Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera, Sheria na Taratibu zinazotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa raia na mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa utawala bora katika kijiji.
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
• Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
• Kutekeleza shughuli nyingine atakazopangiwa na Mwajiri.
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA: Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS B


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
• iWaombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed CV) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, nakala za vyeti vya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
• Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
• Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, Hati Matokeo za Kidato cha Nne na Sita, yaani FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS HAVITAKUBALIWA.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 05 Novemba, 2020 saa 9:30 Alasiri.
• Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili fasaha au Kiingereza fasaha na yatumwe kupitia Posta kwa anuani ifuatayo:

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO,
S.L.P 43,
KIBONDO.

IMETOLEWA NA:
Dr.Sebastian Pima
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI (W)
KIBONDO


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 05 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 26-10-2020
No of Jobs: 2
Start Publishing: 26-10-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 26-10-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.