Vacancy title:
2 Fundi Mitambo
Jobs at:
Karagwe District Cooperative Union (KDCU LTD)Deadline of this Job:
23 May 2020
Summary
Date Posted: Monday, May 18, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Tangazo La Kazi Za Msimu 2020/2021
Chama kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya KARAGWE na KYERWA (KDCU LTD) kinatarajia kuanza ukusanyaji wa kahawa kwa msimu 2020/2021.
Kama ilivyo kwa misimu yote kuna nafasi za kazi za msimu zinazotakiwa kujazwa kabla ya zoezi la ukusanyaji wa kahawa kuanza. Nafasi hizo ni kama ifuatavyo .
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
• Awe na umri wa miaka 25 na kuendelea
• Awe na cheti cha Diploma katika "Mechanical
• Awe na uzoefu si chini ya miaka miwili katika kufanya kazi kwenye kiwanda cha kahawa
• Awe na wadhamini wawili watakaokuwa tayari kumdhamini kwa kutoa mali zao zisizohamishika zenye thamani si chini ya milioni thelathini(milioni 30).
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
Masharti Ya Jumla Kwa Waombaji
• Awe ni raia wa Tanzania
• Awe na umri wa miaka 18 hadi 40
• Awe na tabia njema ya kuridhisha inayokubaliwa kwenye jamii
• Awe hajawahi kuhukumiwa na kufungwa kwa kosa la jinai.
• Maombi yote yaandikwe kwa mkono na kuambatanisha nakala za vyeti vya shule na taaluma na picha yaani passport size mbili na au nakala (photocopy) ya kadi ya mpiga kura, kitambulisho cha Taifa au kitambulisho chochote
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 23/05/2020 Saa 8:00 Mchana. Maombi yote yatumwe kwa anwani ifuatayo;
Meneja Utumishi/Utawala,
KDCU Ltd, S.L.P 14,
KARAGWE
NB: Waombaji watakaotimiza vigezo watajulishwa kupitia mbao za matangazo tarehe ya usaili.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.