2 Local Executives Job at Kasulu Town Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1594 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Local Executives

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Admin & Office ]

Jobs at:

Kasulu Town Council

Deadline of this Job:
17 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kasulu , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, September 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tangazo La Nafasi Za Kazi.
Halmashauri ya Mji wa Kasulu inawatangazia Watanzania wote wenye sifa na uwezo kutuma maombi ya nafasi za kazi kwa kuzingatia sifa,vigezo na maelekezo yaliyo katika tangazo hili. 2 Mtendaji wa Mtaa III .

Kazi za Kufanya:-
• Mratibu na Mtekelezaji wa sera na sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.
• Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya Maendeleo katika Mtaa.
• Msimamizi wa Utekelezaji wa sheria ndogo pamoja na sheria zinazotumika katika Mtaa.
• Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
• Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika Mtaa.
• Kusimamia Ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote.
• Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa.
• Kusimamia Utungaji na utekelezaji wa sheria ndogo ndogo za mitaa.
• Na atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.


Job Skills: Not Specified


Sifa za Mwombaji.
• Cheti cha Kidato cha IV au VI
• Aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii,Usimamizi wa Fedha,Maendeleo ya Jamii na sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo,Dodoma au Chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
• Awe hajawahi kuajiriwa Serikalini.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA. Kwa kuzingatia ngazi ya Mshahara kwa watumishi wa Umma TGS B1
Masharti ya kazi. Kazi ina masharti ya kudumu na malipo ya uzeeni.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAMBO YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI.
Muombaji awe Raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu.
Awe mwenye umri kati ya miaka 18 -45. 3. Barua za muombaji ziambatishwe na nakala za vyeti vya Elimu,Taaluma ,Cheti cha kuzaliwa na Picha mbili (2) za rangi (Passport size) za hivi karibuni.
Barua za maombi ziambatishwe na maelezo binafsi ya muombaji (CV).
Testmonials, "Provisonal Results" Statement of Results" hati za matokeo za kidato cha Nne na sita (Form IV and Form VI Results Slips)
HAVITAKUBALIWA.
Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)

Namna ya kuwasilisha maombi:
Barua ya maombi iandikwe kwa mkono na iambatishwe passport size.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17/09/2020 saa 9:30 Alasiri

Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Mji,
Halmashauri ya Mji,
S.L.P 475
KASULU.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17 September 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 11-09-2020
No of Jobs: 2
Start Publishing: 11-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 11-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.