2 Msaidizi Wa Kumbukumu II Job at Bukoba District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1404 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Msaidizi Wa Kumbukumu II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Bukoba District Council

Deadline of this Job:
23 February 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, February 17, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba amepokea Kibali cha Ajira Mbadala kwa barua ya tarehe 28 Januari, 2021 yeye Kumb. Na. FA. 170/368/01"B"/50 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kwa hiyo, anawatangazia Watanzania wote wenye Sifa na uwezo wa kujaza nafasi 02 kama inavyoonekana hapa chini: .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajika na wasomaji.
• Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (Classification and Boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
• Kuweka/kupanga kumbukumbu,nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukummbu (barua, nyaraka nk) katika mafaili.
• Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na elimu ya kidato cha IV au cha VI.
• Awe na cheti cha Astashahada (Technician Certificate - NTA LEVEL 5) cha Utunzaji wa Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Education Experience: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA MWOMBAJI.
• Mwombaji awe ni raia wa Tanzania na mwenye umri usiozidi miaka 45.
• Mwombaji aambatishe nakala ya Cheti cha kuzaliwa.
• Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo binafsi (CV), nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa zilizoainishwa.
• Picha moja Passport Size iandikwe jina kwa nyuma.
• Hati za matokeo ya kidato cha nne na sita (Statement of Results havitakubalika).
• Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa Umma Wasiombe kazi na wanapaswa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na. CAC.45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba, 2010.
• Maombi yanaweza kuandikwa kwa lugha ya kiingereza au Kiswahili na yatumwe kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 23/02/2021 kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya,
S.L.P 491, BUKOBA.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 23 February 2021
Duty Station: Tanzania
Posted: 17-02-2021
No of Jobs: 2
Start Publishing: 17-02-2021
Stop Publishing (Put date of 2030): 17-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.