2 Mtendaji wa Kijiji III Job at Monduli District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1786 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 Mtendaji wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

 

Jobs at:

Monduli District Council

Deadline of this Job:
03 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Monduli , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, February 20, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Monduli anawatangazia wananchi wote wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kutuma maombi ya kazi kama zilivyotangazwa:- .

Kazi na Majukumu.
• Kuwa Mtendaji na Mshauri Mkuu wa Serikali ya Kijiji na kamati zake.
• Kuwa mlinzi wa amani na msimamizi wa utawala bora katika Kijiji.
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Kijiji.
• Kusimamia mapato na matumizi ya Serikali ya Kijiji.
• Utakuwa Msimamizi wa utekelezaji wa Sera za Halmashauri katika Kijiji.


Job Skills: Not Specified


Sifa: Mwombaji : lazima awe na Elimu ya Kidato cha nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Umri: Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 – 40.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Ngazi ya Mshahara TGS B 1
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 03/03/2020 saa 9:30 alasiri.
Barua hazitapokelewa mkononi, barua zote zitumwe kwa njia ya posta.
Maombi yote yatumwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya Monduli,
S.L.P. 1,
Monduli.

IMETOLEWA NA
Ulaya; S. A.
MKURUGENZI MTENDAJI (W),
MONDULI.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 3rd March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 20-02-2020
No of Jobs: 2
Start Publishing: 20-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.