2 wataalam wa Mionzi Jobs at Halmashauri Ya Wilaya Ya Ludewa - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2112 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
2 wataalam wa Mionzi

 

Jobs at:
Halmashauri Ya Wilaya Ya Ludewa

Deadline of this Job:
15th April 2019  

Duty Station:
Ludewa , Tanzania , East Africa , 00000 , TZ

Summary
Date Posted: 28th March 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full_Time , Currency: TZS , Value: 1562000 , Minimum: 1093750 , Maximum: 4687500 , Period: MONTH

 

JOB DETAILS:
  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa anayofuraha ya kutangaza nafasi mbili (2) kazi za wataalam wa Mionzi, yaani Radiologists (wenye uwezo wa kupiga X-Ray na kutoa huduma ya Utrasound).
ENEO LA KAZI: Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa katika Hospitali ya Wilaya ya
Ludewa, kitengo cha Mionzi..


Kiwango cha Elimu: Ngazi ya cheti (Certificate), Diploma au Shahada (Degrec) ya course ya Mionzi.
Utaratibu wa kazi:
• Mkataba unauhuishwa kila baada ya mwaka mmoja.
• Posho ya masaa ya ziada itatolewa.
• Chakula na malazi ya kujitegemca.
Ngazi ya Mshabara: Itategemea na kiwango cha Elimu kwa kuzingatia taratibu za Utumishi wa Umma.

 

{module 312}

Job application procedure
Maombi yote yaambatanishwe na :
. Nakala vyeti vya taaluma kidato cha Nne au Sita.
• Nakala ya cheti cha mafunzo (Professional Certificate)
• CV - Curriculum Vitae.
• Barua ya Maombi.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15/4/2019 saa kumi jioni.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta, EMS kwa anuani:
Mkurugenzi Mtendaji (w). Halmashauri ya Wilaya Ludewa, SLP 19 LUDEWA - NJOMBE.
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Ludowa
Imetolewa na Mkurgenzi Mtendaji (W) Ludewa.

 

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th april 2019
Duty Station: ludewa tanzania
Posted: 28-03-2019
No of Jobs: 2
Start Publishing: 28-03-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 28-03-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.