3 KATIBU MAHSUSI DARAIA LA III-TGS B Jobs at Government Service Commission Tanzania - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2214 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
3 KATIBU MAHSUSI DARAIA LA III-TGS B

Jobs at:
Government Service Commission Tanzania

Deadline of this Job:
13th October 2018

Duty Station:
Morogoro, Tanzania

Summary
Date Posted: 31th October 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
HALMASHAURI YA WIALAYA YA ULANGA
(Barua zote zitumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri)
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L.P. 22,

Mahenge/ U1anga
Website: www.ulangade.go.tz
Barua pepe: ded@ulangade.go.tz
Unapojibu tafadhali taja:
Kumb. Na. UDC/ADM/A.10/190/44

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga amepokea kibali cha ajira mbadala kwa barua ya tarehe 9/10/2018 yenye Kumb Na. FA.170/361/01/94 kutoka kwa Katibu mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Hivyo anawatangazia watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 09 za kazi kwa kada mbalimbali kama zilivyoorodheshwa hapa Chint-

KATIBU MAHSUSI DARAIA LA III-TGS B

Sifa za mwombaji
Awe amehitimu kidato cha Nne na kuhudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya tatu. Awe amefaulu somo la Matimkato, Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja. Na awe amepata mafunzo ya kornpyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika program za window, microsoft word, Internent E-mail, Excel, power point na publisher.

Kazi za kufanya

  • Kupiga chapa nyaraka za wazi na za siri.
  • Kupokea wageni, kuwahoji na kuwaelekeza mahali wanapoweza kuhudumiwa.
  • Kuweka rekodi ya matukio, miadi, wageni,ratiba za mikutano, safari za kikazi Za mkuu wake wa kazi na programu za kazi zingine na kumtaarifu bosi wake kwa wakati.
  • Kupeleka majalada, nyaraka au chochote kinachohitajika na mkuu wake wa kazi kwa ajili ya kazi za ofisi.
  • Kuwasilisha ujumbe wa mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na kinyume chake.
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya ofisi na kuiwasilisha kwa ofisa muhusika kwa ajili ya kununuliwa.
  • Kutekeleza majukumu mengine yoyote atakayopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Job application procedure

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA KILA MWOMBAJI
Awe Raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 45

  • Aambatishe wasifu binafsi (CV) zenye mawasiliano ya uhakika anuani, barua pepe, namba za simu pamoja na wadhamini wasiopungua wawili ikiwa ni pamoja na mawasiliano yao.
  • Barua ya maombi iambatane na picha mbili za passport za hivi karibuni
  • Waombaji wote waombe kwa kufuata masharti ya Tangazo la kazi.
  • Waombaji lazima waambatishe nakala za vyeti vifuatavyo vikiwa vimegongwa muhuri wa Mahakama kuthibitishwa.
  • Astashahada/cheti cha utaalam kulinga na sifa za nafasi husika.
  • Cheti cha mtihani wa kidato cha nne au sita
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Nakala ya leseni kwa madereva

NB: Kwa wale watakaopita kwenye mchujo wa awali (short listed candidates) ndio watakaoitwa kufika kwenye usaili (interview) na watatakiwa kufika na vyeti vyao halisi.

ANGALIZO

  • Hati za matokeo (result slip), transcripts pekee hazitafanyiwa kazi.
  • Kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo ya uongo kutapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria.
  • Waombaji walioondolewa kwenye utumishi kwa sababu mbalimbali kama kughushi vyeti, wastaafu, hawataruhusiwa kuomba.
  • Kwa waombaji wenye vyeti vya ngazi yaani NTA levels maombi yatakayopokelewa na kufanyika kazi ni maombi yatakayoanzia NTA Level 5 na kuendelea.
    Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 13/11/2018 saa tisa na nusu (9:30) alasiri siku ya Iumanne.

Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga,
S.L.P. 22,
Mahenge/Ulanga
MOROGORO.

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 13th November 2018
Duty Station: Morogoro, Tanzania
Posted: 31-10-2018
No of Jobs: 3
Start Publishing: 31-10-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 31-10-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.