3 Wauguzi RN/EN Jobs at Shinyanga Municipal Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2147 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
3 Wauguzi RN/EN

Jobs at:
Shinyanga Municipal Council

Deadline of this Job:
14th February 2019  

Duty Station:
Shinyanga , Tanzania , East Africa , 255

Summary
Date Posted: 5th February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh

 

JOB DETAILS:
HALMASHAURI YA MANISPAA SHINYANGA
SHIRIKA LA AGPAHI LIKISHIRIKIANA NA OFISI YA MKURUGENZI WA
MANISPAA YA SHINYANGA WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZIFUATAZO;
• AFISA TABIBU - CLINICAL OFFICERS (3)
• WAUGUZI - RN, EN (3)
3 Wauguzi RN/EN

Sifa za mwombaji
• Awe Mtanzania
• Awe na uwezo wakuongea kiingereza na Kiswahili
• Awe amemaliza kidato channe na kuendelea
• Awe na astashahada, stashahada au shahada to chuo kinachotambuliwa na serikali
• Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35 6. Awe na leseni inayotambulika ba Bodi ya wauguzi na inayomruhusu kufanya kazi.
• Awe na uzoefu wakutoa huduma CTC na awe tayari kufanya kazi CTC/PMTCT
• Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya Manispaa ya Shinyanga

 

{module 312}

Job application procedure
Kazi zote zinazotangazwa ni za mkataba.
Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kupitia anwani ifuatayo:
Mkurugenzi wa Manispaa,
S.L.P. 28,
SHINYANGA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/2/2019 saa 9.30 jioni Tarehe ya usaili mtajulishwa kwa njia ya simu.
** Weka namba yako ya simu katika barua yako.
Limetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa Shinyanga, tangazo hili linarudiwa baada ya lile la awali waombaji wake na wale walipatikana kutokidhi vigezo.
NAKALA:
Katibu Tawala (M),
SHINYANGA
S.L.P. 320,
SHINYANGA.
: Katibu Tawala (W)
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya,
S.L.P. 359,
SHINYANGA.
: Mbao zote za Matangazo.

 

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 14th February 2019
Duty Station: Shinyanga , Tanzania
Posted: 05-02-2019
No of Jobs: 3
Start Publishing: 05-02-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 05-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.