Vacancy title:
30 Wakusanya Mapato
Jobs at:
Halmashauri Ya Wilaya Ya IringaDeadline of this Job:
18th June 2019
Summary
Date Posted: Thursday, June 13, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 10.06.2019 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya Ajira ya Muda (Vibarua) kwa nafasi ya: Wakusanya Mapato - Nafasi 30 2.0. .
SIFA ZA MWOMBAJI.
• Awe ni mtanzania na mkazi wa Iringa
• Awe na umri sio chini ya miaka 18 na sio zaidi ya miaka 35
• Mwombaji awe amemaliza kidato cha IV na kupata cheti cha matokeo (School Certificates)
• Mwombaji awe na Astashahada /stashahada ya Kodi, Biashara au Uhasibu
• Mwombaji awe amehudhuria mafunzo ya kompyuta
• Awe na wadhamini wawili, wakazi wa Iringa wenye mali zisiohamishika.
• Mwombaji aambatishe nakala za vyeti vya Elimu na taaluma kama ilivyoelekezwa hapo juu pamoja na barua za wadhamini zenye namba zao za simu na uthibitisho wa mali zisizohamishika.
KAZI/MAJUKUMU
• Kukusanya ushuru wa mazao, misitu, madini, samaki, minada na ushuru wa vyoo na kadri utakavyopangiwa.
• Kuwasilisha Benki Fedha iliyokusanywa kila siku
• Kuandaa taarifa ya makusanyanyo na kuiwasilisha Ofisi ya Mkurugenzi
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Mtendaji Wilaya - Idara ya Fedha MALIPO/MSHAHARA Malipo ya mashahara yatakuwa Tshs 10,000/= kwa siku na malipo yatafanyika mwisho wa mwezi, Aidha Mkataba huu utadumu kwa muda wa miezi mitatu tu..
Maombi yatumwe kwa;
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa,
S.L.P 108,
IRINGA.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18.06.2019 saa 9:30 alasiri.
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.