4 DEREVA DARAJA LA II -TGS B Jobs at Government Service Commission Tanzania - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2193 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
4 DEREVA DARAJA LA II -TGS B

Jobs at:
Government Service Commission Tanzania

Deadline of this Job:
13th October 2018

Duty Station:
Morogoro, Tanzania

Summary
Date Posted: 31th October 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
HALMASHAURI YA WIALAYA YA ULANGA
(Barua zote zitumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri)
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji (W),
S.L.P. 22,
Mahenge/ U1anga
Website: www.ulangade.go.tz
Barua pepe: ded@ulangade.go.tz
Unapojibu tafadhali taja:
Kumb. Na. UDC/ADM/A.10/190/44

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga amepokea kibali cha ajira mbadala kwa barua ya tarehe 9/10/2018 yenye Kumb Na. FA.170/361/01/94 kutoka kwa Katibu mkuu Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Hivyo anawatangazia watanzania wote wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 09 za kazi kwa kada mbalimbali kama zilivyoorodheshwa hapa Chint-

Sifa za Mwombaji

Kuajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kidato cha nne (iv), wenye Ieseni daraja la C, CI, C2, C3, D na E ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali. Wenye cheti cha majaribio ya ufundi darajala II au "level II” watapewa kipaumbele.

Kazi za kufanya.

  • Kuendesha magari madogo ya abiria na malori
  • Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika halinzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari.
  • Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
  • Kutunza na kuandika daftari la safari “Log — book” kwa safari zote.

Job application procedure

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA KILA MWOMBAJI
Awe Raia wa Tanzania mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 45

  • Aambatishe wasifu binafsi (CV) zenye mawasiliano ya uhakika anuani, barua pepe, namba za simu pamoja na wadhamini wasiopungua wawili ikiwa ni pamoja na mawasiliano yao.
  • Barua ya maombi iambatane na picha mbili za passport za hivi karibuni
  • Waombaji wote waombe kwa kufuata masharti ya Tangazo la kazi.
  • Waombaji lazima waambatishe nakala za vyeti vifuatavyo vikiwa vimegongwa muhuri wa Mahakama kuthibitishwa.
  • Astashahada/cheti cha utaalam kulinga na sifa za nafasi husika.
  • Cheti cha mtihani wa kidato cha nne au sita
  • Cheti cha kuzaliwa
  • Nakala ya leseni kwa madereva

NB: Kwa wale watakaopita kwenye mchujo wa awali (short listed candidates) ndio watakaoitwa kufika kwenye usaili (interview) na watatakiwa kufika na vyeti vyao halisi.

ANGALIZO

  • Hati za matokeo (result slip), transcripts pekee hazitafanyiwa kazi.
  • Kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo ya uongo kutapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria.
  • Waombaji walioondolewa kwenye utumishi kwa sababu mbalimbali kama kughushi vyeti, wastaafu, hawataruhusiwa kuomba.
  • Kwa waombaji wenye vyeti vya ngazi yaani NTA levels maombi yatakayopokelewa na kufanyika kazi ni maombi yatakayoanzia NTA Level 5 na kuendelea.
    Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 13/11/2018 saa tisa na nusu (9:30) alasiri siku ya Iumanne.

Maombi yote yatumwe kwa:-
Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga,
S.L.P. 22,
Mahenge/Ulanga
MOROGORO.

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 13th November 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 31-10-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 31-10-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 31-10-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.