Vacancy title:
4 Msaidizi wa Kumbukumbu II
Jobs at:
Arusha City CouncilDeadline of this Job:
18 December 2020
Summary
Date Posted: Monday, December 14, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji anawatangazia Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Jiji la Arusha kutuma maombi ya kazi ya muda kwa Mkurugenzi wa Jiji ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya Tangazo hili. Nafasi hizi ni za muda wa miezi sita kwa kazi zilizopangwa na kuidhinishwa na Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/2021. .
Sifa zinazotakiwa
Awe na elimu ya kidato cha Nne au Sita na na Astashahada/cheti cha utunzaji kumbukumbu katika fani ya masjala,afya au ardhi kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Job Skills: Not Specified
Kazi na Majukumu
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajika na wasomaji.
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumnbu/nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
• Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/cabinets) katika. masjala/nyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka n.k) katika mafaili.
• Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka taasisi za Serikali.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na Mwenye akili timamu.
• Waombaji wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya Elimu/taaluma, cheti cha kuzaliwa na maelezo binafsi (CV).
• Mshahara utakuwa wa makubaliano kwa kuzingatia bajeti.
• Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 18/12/2020 saa 9:30 alasiri.
• Maombi yatakayotumwa kwa mkono hayatapokelewa.
• Waombaji wenye uzoefu wa kazi watapewa kipaumbele.
Maombi yatumwe kwa anuani ifuatayo:
Mkurugenzi,
Halmashauri ya Jiji la Arusha
S.L.P. 3013, Arusha.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.