Vacancy title:
40 Madereva
Jobs at:
Overland carriers & e. Awadh companyDeadline of this Job:
7th June 2019
Summary
Date Posted: 27th May 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Job Summary Madereva 40 wa magari makubwa ya masafa marefu Full Job Description Tangazo la nafasi za kazi .
Sifa: Wawe na umri wa kuanzia miaka 35 na kuendelea Kwa wale wenye umri chini ya miaka 35 lakini wamepitia chuo cha taifa cha usafirishaji (nit) au chuo cha mafunzo ya ufundi stadi (veta) kozi ya udereva magari makubwa watafikiriwa pia. Wasiwe na kumbukumbu za uhalifu, wenye police clearance watafikiriwa kwanza. Wawe tayari kufanya kazi kwa kujituma.
Job Skills: Not Specified
Job Qualifications: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Kwa watakaofanikiwa kupita usaili wataajiriwa dar re salaam Wanaohitaji watume/walete maombi yao kwa
Mkurugenzi mkuu
Overland carriers & e. Awadh company
Plot no.39 - d, chuma road,
Chang'ombe area,
p.o.box 5055
Dar es salaam, Tanzania
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.