5 Mtendaji Wa Kijiji III Job at Bahi District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1336 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
5 Mtendaji Wa Kijiji III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Bahi District Council

Deadline of this Job:
28 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Bahi , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, September 17, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Tangazo La Kazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi anapenda kuwatangazia Wananchi wenye sifa kuomba nafasi za watendaji wa vijiji katika masharti ya kudumu. Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha Ajira Mbadala chenye Kumb. Namba FA.170/360/01/32 cha tarehe 31 Agosti, 2020 kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora. .

Majukumu ya Kazi:
• Afisa Masuhuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao, kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji.
• Kuratibu na kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya maendeleo ya Kijiji.
Katibu wa Mikutano yote na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
• Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na taratibu
• Kuandaa Taarifa za Utekelezaji wa Kazi katika eneo lake na kuhamasisha Wananchi katika kuandaa na kutekelza Mikakati ya kuondoa Njaa, Umaskini na kuongeza Uzalishaji mali.
• Kiongozi wa Wakuu wa kitaaluma katika Kijiji
• Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na Nyaraka za Kijiji husika.
• Mwenyekiti wa kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya Wananchi.
• Kusimamia Utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji na
• Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
• Masharti ya Kazi: Ajira ya kudumu
• Mshahara: Kwa kuzingatia Ngazi ya Mshahara wa Serikali (TGS B)


Job Skills: Not Specified


Sifa za kuingilia moja kwa moja
Kuajiriwa wenye Elimu ya kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu Mafunzo ya Astashahada Cheti (NTA LEVEL 5) katika mojawapo ya fani zifuatazo; → Sheria, Utawala, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za MitaaHombolo Dodoma au Chuo chochote kilichotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Mambo Muhimu ya kuzingatia kwa Mwombaji:
• Waombaji wote wawe Raia wa Tanzania ambao hawazidi umri wa miaka 45 na hawapungui umri wa miaka 18
• Waombaji wote lazima waambatanishe wasifu binafsi (CV) zenye mawasiliano ya Uhakika, Anwani, Barua pepe na Namba za Simu.
• Waombaji wote waombe kwa kufuata Masharti ya TANGAZO LA KAZI
• Waombaji wote waambatanishe nakala za Vyeti zifuatazo:
a) Astashahada/ Cheti cha Utaalamu kulingana na Sifa za nafasi husika.
b) Cheti cha kuhitimu Mtihani wa kidato cha Nne au Sita
c) Cheti cha Kuzaliwa
Hati ya Matokeo ya Kidato cha NNe (RESULT SLIP) haitafanyiwa kazi Picha moja ya “PASSPORT SIZE” ya hivi karibuni
• Hati ya Matokeo ambayo haikuambatanishwa na Cheti haitafanyiwa Kazi.
• Kuwasilisha Vyeti vya Kughushi na maelezo mengine ni kosa kisheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa mwombaji husika.
• Waombaji ambao ni Watumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi.
• Waombaji ambao walistaafu kazi kwa sababu yoyote ile hawaruhusiwi kuomba nafasi hizi. Waombaji waonyeshe Wadhamini wawili, mawasiliano yao, anwani na namba za simu.
• Waombaji wenye vyeti vya kidato cha Nne/Sita na Cheti cha Taaluma vilivyotolewa Nje ya Nchi wahakikishe vimehakikiwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA) na Baraza la Elimu ya Ufundi Taifa (NACTE)

Barua ya maombi iandikwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingireza
Watakao chaguliwa kufanya Usaili watajulishwa tarehe ya usaili na mahali.
Maombi yatumwe kwa Anwani ifuatayo;
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Bahi,
S.L.P. 2993 BAHI-DODOMA
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28/09/2020 saa tisa na nusu (9:30) Alasiri.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 28 September 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 17-09-2020
No of Jobs: 5
Start Publishing: 17-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 17-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.