5 Udereva Jobs at Superfeo Express - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2259 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
5 Udereva

Jobs at:
Superfeo Express

Deadline of this Job:
15th November 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 5th November 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
Nafasi 5 za Kazi ya Udereva Superfeo Express
Superfeo EXPRESS
Songea Head Office Niombe Branch
P.O.Box 301 P.O.Box 472
SONG EA NIOMBE

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Super Feo Express anatangara
Nafasi 5 za kazi ya udereva wa mabasi ya safari ndefu.

Sifa za Mwombaji

  • Uwe na lesenl ya kuendesha mahasi mnkuhwa yenye umrl wa mialca
    milano rla kuendelea.
  • Uwe na uzoefu wa kuendesha mabasi aina ya scarlia na ya lfichina
    ya safari ndefu kwa zaidi ya miaka mitanc.

Barua ya kuomba Kazi lamhatanishwe naVifuatavyo:-

  • Barua ya maombi ya kazi
  • Copy ya cheti cha shule ya udereva
  • Copy ya leseni.
  • Barua mbili za wadhamini zilizothibitishwa na mtendaji wa mtaa wako
  • Barua toka kwa mwajiri wako ulipokua unafanya kazi
  • Barua zote ziandihwe kwenda kwa

Job application procedure
MKURUGENZI MKUU,
S.LP 301.
SONGEA
AU
EMAIL: francissengo@gmail.com
Francis .A. Sengo

Mwishu wa kupokea barua ni tarehe 15th/11/2018
maombi yole yapelekwe katika nfisi yetu ya kariakoo dar es salaam na gereji ya Super Feo Ruhuwiko Songea

Afisa Haban
Super Feo Express
02/11/2018

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15th November 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 05-11-2018
No of Jobs: 5
Start Publishing: 05-11-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 05-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.