50 Drivers Job at GALCOLimited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1817 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
50 Drivers

[ Type: FULL TIME , Industry: Transportation, Distribution, and Logistics , Category: Transportation & Logistics ]

 

Jobs at:

GALCOLimited

Deadline of this Job:
31 January 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, January 20, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI (50 Madereva Wa Magari Makubwa) NAFASI 50 GALCO Limited ni kampuni inayohusika na Usafirishaji wa Mizigo tofauti ndani na nje ya nchi. GALCO Limited inahitaji madereva wenye WELEDI, UZOEFU NA UADILIFU wa hali ya juu usiotiliwa shaka na mtu au taasisi yoyote ndani na nje ya nchi. .

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified


Waombaji wa nafasi hizi wanatakiwa kuwa na vigezo vifuatavyo wakizingatia vigez vikuu tisa vilivyotajwa hapo chini;
• Umri usiopungua miaka 25 na usiozidi miaka 45.
• Elimu ya darasa la saba na kuendelea.
• Cheti cha ujuzi wa udereva wa magari makubwa kutoka NIT/VETA.
• Barua ya uhakiki alama za vidole kutoka Polisi.
• Afya inayostahimili safari za nje na ndani ya nchi.
• Nyaraka za kusafiria (Passport Kubwa)
• Uwezo wa kusoma na kuandika kwa ufasaha.
• Uzoefu wa kuendesha magari makubwa usiopungua miaka mitano.
• Leseni ya Udereva yenye sifa ya kuendesha magari makubwa

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  Maombi yote yaletwe ofisini kwetu kuanzia tarehe 17-01-2020 kwa n mkono na kukabidhiwa kwa walinzi wetu, na kujaza kwenye fomu m mu. Ofisi zetu zipo shimo la udongo, kiwanja namba 2084, mandela kurasini, mkabala na maegesho ya magari shimo la udongo. Maombi yote yaelekezwe kwa meneja - rasilimali watu galco limited s. L. P. 6244, dar es salaam
MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 31-01-2020 Zingatia - Muhimu: 1.
• Watakaochaguliwa watapigiwa simu na ofisi kwa mchakato zaidi
• Epuka kutapeliwa fedha au kitu chochote cha thamani kwa ahadi ya kupata wa ajira ndani ya Galco Limited.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 31st January 2020
Duty Station: Dar es Salaam
Posted: 20-01-2020
No of Jobs: 50
Start Publishing: 20-01-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 21-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.