50 madereva wa Malori Jobs at Simba Logistics Limited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1897 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
50 madereva wa Malori

[ Type: FULL TIME , Industry: Lofistics , Category: Transportation ]

 

Jobs at:

Simba Logistics Limited

Deadline of this Job:
12th November 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Tanzania , East Africa

Summary
Date Posted: Friday, November 01, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Kampuni ya Usafirishaji ya Simba Logistics Limited inawatangazia nafasi 50 za ajira kwa madereva wa Malori .

Sifa za Mwombaji:
• Awe amehitimu na kutunikiwa cheti halali cha Form IV au VI. au Mwenye vigezo zaidi atapewa kipaumbele, Leseni halali Daraja E ambayo haijaisha muda wake ndani ya miaka mitano ijayo,
• Awe amehudhuria mafunzo ya uendeshaji malori ya mizigo (HDV/HGV Professional Driving) kutoka chuo cha NIT, Dereva mwenye cheti cha ufundi magari atafikiriwa kwanza,
• Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika vizuri lugha ya Kiswahili wakati wote; Awe na namba ya simu yenye mawasiliano ya Whatsapp muda wote;
• Awe na uzoefu wa kuendesha Matrela ya malori ya aina zote (pulling, semi trela, Intersemi, interlink, nk),
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
• Awe na hati halali ya kitabu ya kusafiria ambayo itakua hai ndani ya miaka 5 ijayo,
• Cheti cha kutokua na makosa yeyote ya jinai toka Polisi (Police Clearance
• Certificate)
• kadi ya chanjo ya homa (Vaccination Card)

Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  Mshahara mzuri utatolewa kwa atakayefaulu katika usaili wa kwanza na wapili.
Masharti kwa Ujumla
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri kati ya 30-40, 2.
• Maombi yote yaambatane na nakala ya vyeti vya taaluma, maelezo, kuthibitisha
• Umri, waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa, au cha uraia.
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 12 Novemba, 2019 saa sita kamili mchana.
• Baua ya maombi ya kazi iandikwe kwa mkono na ibandikwe picha ya muombaji.
• Maombi yote yawasilishwe kwa PDF kupitia email malinda a simba-logistics.com Au ziachwe kwa walinzi getini kwa maelezo zaidi 0759-099-057


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Transportation jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 12th November 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 01-11-2019
No of Jobs: 50
Start Publishing: 01-11-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 02-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.