575 Msimamizi Wa Kituo Cha Kupigia Kura Job at Kwimba District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1550 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
575 Msimamizi Wa Kituo Cha Kupigia Kura

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Kwimba District Council

Deadline of this Job:
27 September 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kwimba , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, September 24, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
MSIMAMIZI WA UCHAGUZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA KWIMBA
JIMBO LA KWIMBA NA SUMVE
Unapojibu tafadhali taja:

Kumb. Na. MZA/KDC/CCL.20/1/VOL.III/165. TAREHE: 21/09/2020

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la KWIMBA NA SUMVE kwa kuzingatia kanuni ya 14 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za Mwaka 2020 na kanuni ya 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 kama ifuatavyo: .

Job Responsibilities: Not Specified


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA MSIMAMIZI AU MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA
• Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
• Asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa;
• Awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
• Awe amemaliza elimu ya kidato cha nne (4) au zaidi na anaweza kusoma na kuandika vizuri. Pia, anayeweza kuyaelewa Maelekezo ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura; na
• Ikiwezekana awe mkazi wa kata ambayo anaomba.


Job Education Requirements: Not Specified


MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-
• Msimamizi wa Kituo siku ya Uchaguzi atalipwa posho ya Tzs. 35,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs. 15,000 kwa siku moja na nauli Tzs. 20,000;
• Msimamizi Msaidizi wa Kituo atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku kwa muda wa siku mbili, posho ya chakula Tzs 15,000 na nauli Tzs 20,000; na
• Karani Mwongozaji Wapiga Kura atalipwa posho ya Tzs. 30,000 kwa siku moja na posho ya chakulaTzs. 15,000.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi (Detailed C.V) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (Referees) wawili.
• Maombi yote yaambatane na Vyeti vya taaluma, nakala za Vyeti vya Kidato cha Nne, Kidato cha Sita au kuhitimu mafunzo kwa kuzingatia sifa kwa mujibu wa Tangazo hili.
• Waombaji waambatishe picha mbili ‘Passport size’ za hivi karibuni.
• Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao.
• Waombaji watakaowasilisha taarifa na sifa za kugushi watachukuliwa hatua za kisheria.
• Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 27 Septemba, 2020.
Anuani ya kutuma maombi ya kazi ni:
Msimamizi wa Uchaguzi,
Jimbo la Kwimba na Sumve
S.L.P 88,
NGUDU/KWIMBA


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 27 September 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 24-09-2020
No of Jobs: 575
Start Publishing: 24-09-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 24-09-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.