7 Engineer II Construction (Highway) jobs at Office of the President Regional Administration and Local Government (TAMISEMI)
Website :
1271 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
7 Engineer II Construction (Highway)

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

Office of the President Regional Administration and Local Government (TAMISEMI)

Deadline of this Job:
29 October 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Dodoma , East Africa

Summary
Date Posted: Sunday, October 17, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Post: Mhandisi II Ujenzi (Highway) - 7 Post
Post Category(s): Engineering and Construction
Employer: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Application Timeline: 2021-10-16 to 2021-10-29

Duties and Responsibilities
i.Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na Bodi ya Usajili ya Wahandisi (Professional Engineer) ili kupata uzoefu unaotakaiwa;
ii.Kufanya ukaguzi wa barabara, madaraja na majengo mbalimbali;
iii.Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani;
iv.Kufuatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni za ujenzi wa barabara na majengo;
v.Kutayarisha bajeti ya mwaka ya ujenzi na matengenezo ya barabara, madaraja na majengo;
vi.Kusimamia na kuratibu kazi za barabara/madaraja na majengo zinazotolewa na Makandarasi; na
vii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Msimamizi wake wa kazi.

Qualification and Experience
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne/Sita waliofuzu Mafunzo ya Shahada/ Stashahada ya Juu katika fani ya Uhandisi Ujenzi walioojiimarisha katika Ujenzi wa Barabara (Bachelor of Science in Civil Engeneering – Highway) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration: TGS E

Job Experience: No Requirements

Work Hours: 8


Level of Education:
Bachelor Degree

 

{module 312}

Job application procedure
Please click here to apply.

All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Construction jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 29 October 2021
Duty Station: Dodoma
Posted: 17-10-2021
No of Jobs: 7
Start Publishing: 17-10-2021
Stop Publishing (Put date of 2030): 17-10-2065
Apply Now

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.