70 Tax Collectors Job at Songea Municipality - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1500 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
70 Tax Collectors

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Accounting & Finance ]

Jobs at:

Songea Municipality

Deadline of this Job:
15 December 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Monday, December 14, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA NAFASI 70 ZA KAZI WAKUSANYA USHURU.70 ZA KAZI WAKUSANYA USHURU. Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya Ajira ya Muda (Vibarua) kwa nafasi ya Wakusanya Ushuru - Nafasi 70.. .

SIFA ZA MUOMBAJI.
• Awe Mtanzania Mkazi wa Manispaa ya Songea.
• Awe na Umri sio chini ya Miaka 18 na sio zaidi ya Miaka 55.
• Awe na Elimu ya Darasa la Saba na Kuendelea.
• Awe Muadilifu, Mwaminifu na hajawahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai.
• Awe na uzoefu wa kutumia “Smart-Phone” / EFD katika miamala ya malipo.


Job Skills: Not Specified


KAZI/MAJUKUMU
Kukusanya Ushuru wa Stendi,Vyoo, Misitu, Mifugo, Maegesho na/au kadri atakavyopangiwa na Afisa Mapato wa Manispaa.


Job Education Requirements: Not Specified


MASHARTI YA JUMLA;
Barua ya maombi iliyopitishwa na Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi mwombaji iambatanishwe na nakala ya cheti cha kuzaliwa, picha moja ‘Passport size’ na barua ya Mdhamini mwenye mali isiyohamishika ndani ya Manispaa ya Songea iliyopitishwa na Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi Mdhamini.
Kazi ni ya Mkataba wa Miezi Mitatu ambayo Malipo yake yatatokana na Asilimia ya Makusanyo (Commission).


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
Barua za maombi ziletwe kwa mkono ifikapo au kabla ya tarehe 15/12/2020 saa 9.30 alasiri kwa anuani ya:-
Mkurugenzi wa Manispaa,
S. L. P 14,
SONGEA.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15 December 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 14-12-2020
No of Jobs: 70
Start Publishing: 14-12-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 14-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.