9 Electrical Engineer And Machinery Graduates Job at Laodicean Steel and Plastics Factory - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1534 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
9 Electrical Engineer And Machinery Graduates

[ Type: FULL TIME , Industry: Manufacturing , Category: Science & Engineering ]

Jobs at:

Laodicean Steel and Plastics Factory

Deadline of this Job:
15 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Mkuranga , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, November 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
NAFASI ZA KAZI KATIKA KIWANDA KIKUBWA CHA CHUMA NA PLASTIKI Kiwanda cha Lodhia cha Chuma na Plastiki, kilichopo kisemvule Mkuranga kinakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa katika nafasi zifuatazo. Hii ni fursa ya kipekee kwa Vijana wenye ndoto ya kufanya kazi na kupata ujuzi sahihi wa uendeshaji mitambo ya kisasa katika viwanda ya chuma .

MHANDISI UMEME NA MITAMBO (WALIOHITIMU MWAKA HUU)-NAFASI NNE
• Wahitimu wa uhandisi wenye shahada ya kwanza na kuendelea
• Ufaulu mzuri wa masomo ya uhandisi
• Awe na ujuzi imara katika Umeme, Mawasiliano na PLC
• Uwezo wa hali ya juu wa mawasiliano.
• Sharti awe tayari kufanya kazi zamu ya usiku na mchana


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA JUMLA KWA WOTE:
• Muombaji awe Mtanzania
• Muda wa mafunzo kwa vitendo hautahesabika kama Uzoefu
• Muaminifu
• Mchapa kazi
• Anayefundishika haraka
• Mtizamo chanya wa mambo


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI: Tuma CV, barua ya nafasi unayomba, vyeti vyako vya Elimu kwa anuani ya barua pepe ifuatayo. info-dar@lodhiagroup.co.tz 

Au
Tuma CV, Barua ya nafasi unayoomba, vyeti
vyako kwa anuani ya Lodhia Steel Industries Ltd S.
L.P 75778,
Dar es Salaam-Tanzania.

ZINGATIA: Ukitumia barua pepe usitume tena kwa sanduku la posta. Endapo utatuma kwa barua pepe na Sanduku la barua maombi yako hayatashulikiwa.

MUHIMU: Kichwa cha habari cha barua pepe kisomeke nafasi unayomba kwa usahihi bila kukosea Mfano. MHANDISI UMEME NA MITAMBO (WALIOHITIMU MWAKA HUU). MWISHO WA KUTUMA: Tutapokea maombi ya kazi mwisho tarehe 15/11/2020.

ZINGATIA: Tutawasiliana na waombaji watakaotimiza vigezo vya nafasi anayoomba na watakaofua - ta maelekezo ya kuomba nafasi husika kwa usahihi. Hii ni sifa kuu ya kwanza kufuata maelekezo kwa usahihi.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Electrical Engineering jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 15 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 11-11-2020
No of Jobs: 9
Start Publishing: 11-11-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 11-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.