Afisa Hikopo Job at Lulu Sacco’s Ltd, - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2375 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Afisa Hikopo

Jobs at:
Lulu Sacco’s Ltd,

Deadline of this Job:
18/07/2018 saa 9.00

Duty Station:
Tanzania

JOB DETAILS:
CHAMA CHA USHIRIKA AKIBA NA MKOPO LULU SACCOS LTD,

Bodi ya charna cha ushirika wa akiba na mikopo Lulu (Lulu Saccos Ltd) MBR737 kilichopo Jiji la Mbeya maeneo ya Soweto kata ya Ruanda kinatoa tangazo la kazi kwa nafasi zifuatazo:

2. AFISA HIKOPO (NAFASLI) (Officer)

SIFA (QUALITY)

  • Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi SO
  • Awe na elimu ya sekondari
  • Awe na shahada ya uhasibu, ushirika, na Masoko, na usimarnizi we fedha kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
  • Awe haiawahi kufukuzwa kazi rnahala popote
  • Awe mtu wa kujituma
  • Awe mtu anayejisimamia mwenyewe
  • Awe anajua kutumia kompyuta
  • Awe ni mtanzania anayeishi katika Jiji la Mbeya
  • Awe ni mzaliwa/mwenyeji wa mkoa wa Mbeya.

KAZI (WORK)

  • Kutunza na kutoa fomu za maombi ya mikopo
  • Kupitia fomu za maombi ya rnikopo
  • Kutembelea maeneo ambako waombaii mikopo wanapofanyia biashara zao
  • Kuandaa vikao vya kamati ya mikopo
  • Kuhakikisha mikopo iliyoidhinishwa inatolewa kwa wakati
  • Kufuatilia marejesho ya mikopo
  • Kutoa elimu ya biashara kwa waombaii mikopo
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na mwaiili wake

KAZI HII NI YA KUJITOLEA KWA HUDA WA HIEZI HITANO (5) BAADA YA HAPO ATAAJIRIWA KAMA ATAKUWA AHEKIDI-ll VIGEZO

Job application procedure

  • Mwombaii anatakiwa kuarnbatanisha picha mbili passport size
  • Mwombaji atatakiwa kuarnbatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaiiwa na vya masomo
  • Mwombaji aambatanishe CV yake wakati wa kuomba kazi
  • Mwombaji aonyeshe mawasilisano yake bayana
  • Mwombaji atakayefaulu kwa awamu ya kwanza ataitwa kwenye usaili
  • Mwornbaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
  • Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
  • Maombi yatumwe kwa :
    -
    MWENYEKITI WA BODI
    CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA
    NA MIKOPO LULU
    S. L. P. 3467
    MBEYA.

  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe
    18/07/2018 saa 9.00 alasili (afternoon)

IMETOLEWA NA HWENYEKITI WA CHAMA

Job Info
Job Category: Corporate / Organisation Officer jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 18 july 2018 saa 9.00
Duty Station: Tanzania
Posted: 21-06-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 21-06-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 21-06-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.