Vacancy title:
Assistant Accountant
Jobs at:
Hospitali Teule Ya Wilaya Ikungi (Makiungu CDH)Deadline of this Job:
20th May 2019
Summary
Date Posted: 16th May 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
HOSPITALI TEULE YA WILAYA IKUNGI (MAKIUNGU CDH)
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
kwa niaba ya Kamati ya Usimamizi ya Hospitali, Menejimenti ya Hospitali Teule ya Wilaya Ikungi - Makiungu inapenda kuwatangazia na kuwaalika kutuma maombi ya kazi katika nafasi zifuatazo: MHASIBU MSAIDIZI (Assistant Accountant).
Mwombaji awe na sifa zifuatazo:
• Awe amehitimu masomo ya fani ya Uhasibu kwa ngazi ya Stashahada
• Awe amehitimu elimu ya kidato cha Nne / Sita
• Awe na ujuzi mzuri na uzoefu wa Kompyuta
• Mwenye uzoefu mzuri wa kazi atapewa kipaumbele katika nafasi hii
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Maombi yatumwe kwa anwani zifuatazo:
Mganga Mkuu,
Makiungu CDH,
S.L.P 56,
SINGIDA
AU
Barua Pepe: makiungucdh93@yahoo.com
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba zifuatato 0755526923/0762085834
NB. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20/5/2019
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.