Assistant laboratory technician Job at Sinai Healthcare Polyclinic - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2031 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Assistant laboratory technician

[ Type: FULL TIME , Industry: Health Care , Category: Health Care ]

 

Jobs at:

Sinai Healthcare Polyclinic

Deadline of this Job:
30th June 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, June 20, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Sinai Healthcare Polyclinic ni taasisi mpya inayotoa huduma za kitabibu, inayoongozwa na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu pamoja na timu za watoa huduma wengine. Katika kuboresha huduma kwa wateja, Sinai Healthcare Polyclinic inatangaza nafasi mpya za kazi kama ifuatavyo: – Assistant laboratory technician .

Sifa za muombaji Muombaji awe ni muhitimu wa astashahada (certificate) ya maabara kutoka katika chuo kinachotambulkika na NACTE na awe amesajiliwa na baraza husika la kitaaluma.


Job Responsibilities: Not Specified

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
• Muombaji alete barua yake ya maombi katika benchi la mapokezi, Sinai Healthcare
• Polyclinic, Boko Basihaya, Tegeta – Dar es Salaam.
• Barua zote ziambatanishwe na nakala za cheti cha kuzaliwa, vyeti vya kuhitimu mafunzo
• ikiwemo sekondari pamoja na vyeti vya kitaaluma.
• Muombaji aoneshe nafasi anayoomba nje ya bahasha ya barua ya maombi
• Muombaji aambatanisha CV yake yenye majina na mawasiliano ya referees wawili.
• Watu wachache tu wataitwa kwa ajili ya usaili.
• Kwa maulizo, wasiliana nasi kupitia namba ya simu ya mkononi: 0754 490468


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 30th June 2019
Duty Station: Dar es Salaam, Tanzania
Posted: 20-06-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 20-06-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 21-06-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.