Vacancy title:
Assistant pharmaceutical technician
Jobs at:
Sinai Healthcare PolyclinicDeadline of this Job:
30th June 2019
Summary
Date Posted: Thursday, June 20, 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Sinai Healthcare Polyclinic ni taasisi mpya inayotoa huduma za kitabibu, inayoongozwa na madaktari bingwa wa magonjwa ya binadamu pamoja na timu za watoa huduma wengine. Katika kuboresha huduma kwa wateja, Sinai Healthcare Polyclinic inatangaza nafasi mpya za kazi kama ifuatavyo: – Assistant pharmaceutical technician .
Sifa za muombaji Muombaji awe ni muhitimu wa astashahada (certificate) ya pharmacy kutoka katika chuo kinachotambulkika na NACTE na awe amesajiliwa na baraza husika la kitaaluma.
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
• Muombaji alete barua yake ya maombi katika benchi la mapokezi, Sinai Healthcare
• Polyclinic, Boko Basihaya, Tegeta – Dar es Salaam.
• Barua zote ziambatanishwe na nakala za cheti cha kuzaliwa, vyeti vya kuhitimu mafunzo
• ikiwemo sekondari pamoja na vyeti vya kitaaluma.
• Muombaji aoneshe nafasi anayoomba nje ya bahasha ya barua ya maombi
• Muombaji aambatanisha CV yake yenye majina na mawasiliano ya referees wawili.
• Watu wachache tu wataitwa kwa ajili ya usaili.
• Kwa maulizo, wasiliana nasi kupitia namba ya simu ya mkononi: 0754 490468
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.