Daktari Bingwa wa Meno Job at Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2326 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Daktari Bingwa

Jobs at:
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)

Deadline of this Job:
17th December 2018

Duty Station:
Tanzania

Summary
Date Posted: 10th December 2018 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time

JOB DETAILS:
NAFASI MPYA ZA AJIRA NA MAFUNZO JESHILA WANANCHI TANZANIA (JWTZ) Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini Madaktari wa Binadamu na fani nyingine za Tiba.
Nafasi hizo zinatolewa ili kuongeza idadi ya wataalamu wa tiba watakaotoa huduma za afya katika Hospitali zetu, vituo vya afya na Zahanati kulingana na mahitaji ya sasa na siku zijazo. Watakao andikishwa Jeshini ni wale wenye taaluma zifuatazo:-

Daktari Bingwa – Specialist Neurasurgeon

SIFA ZA KUANDIKISHWA JESHINI NI ZIFUATAZO:-

  • Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
  • Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 28 isipokuwa specialist
  • Awe na afya njema ya mwili na akili timamu.
  • Awe mwenye tabia njema na nidhamu nzuri
  • Awe hajawahi kupatikana na hatia ya makosa ya jinai Mahakamani na kufungwa jela.
  • Awe na cheti halisi cha kuzaliwa (Original Birth Certificate), vyeti vya shule (Academic & School Leaving Certificates) na vyeti vya Chuo (Transcript & Academic Certificates).
  •  Kama ni Daktari awe amemaliza mafunzo kwa vitendo (Internship) na kutunukiwa vyeti pamoja na kusajiliwa na Bodi.
  • Awe hajatumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo au Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo.

Job application procedure
Wenye sifa tajwa na kuhitaji kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania waripoti katika Kambi ya Jenerali Abdallah Twalipo, Mgulani Dar es Salaam tarehe 17, Desemba, 2018 kuanzia saa 1.00 Asubuhi kwa usaili.
Waombaji wafike na vyeti halisi (Original Certificates) vya kuzaliwa na masomo pia wajitegemee kwa usafiri, chakula na malazi.
Aidha, watakaochaguliwa na kuandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali ya Jeshi na yatakayo waendeleza katika taaluma zao. Wakiwa Jeshini majukumu watakayopatiwa ni yale yatakayowapa changamoto na fursa nzuri za kutumia taaluma zao.
https://goo.gl/neYqzG

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17th December 2018
Duty Station: Tanzania
Posted: 10-12-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 10-12-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.