Vacancy title:
Dereva
Jobs at:
Ilula Orphan Program (IOP)
Deadline of this Job:
11th February 2019
Summary
Date Posted: 5th February 2019 , Base Salary: Not Disclosed , Employment Type: Full-Time , Currency: Tsh
JOB DETAILS:
DEREVA WA BASI LA WANAFUNZI
VIGEZO MUHIMU
• Muombaji awe na cheti cha elimu ya Sekondari, angalau Kidato cha nne (Form four)
• Awe na umri usiopungua miaka 35
• Awe na leseni ya udereva daraja C (class C)
• Awe na uzoefu wa kuendesha basi angalau miaka 3 na kuendelea
• Awe hajawahi kupata ajali ya barabarani
• Asiwe mtumia kilevi au kuvuta sigara
• Awe na uwezo wa kuongea Kiingereza
• Awe na sifa nzuri kwenye jamii
• Awe na wadhamini wanaoheshimika katika jamii
• Awe tayari kufanya kazi nyingine yoyote atakayopangiwa
• Awe hajawahi kupatikana na hatia ya kudhalilisha watoto kwa namna yoyote
Awe tayari kuendesha vyombo vingine vya moto
{module 312}
Job application procedure
Maombi yote yatumwe kupitia barua pepe ifuatayo: admin@ioptanzania.org AU
Waombaji wanaruhusiwa kuwasilisha maombi yao kwa mkono kabla ya tarehe iliyotajwa
Maombi yaliyoandikwa kwa mkono na kuambatishwa na vivuli vya vyeti yatumwe kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini,
Ilula Orphan Program,
S. L. P 151,
MAZOMBE – IRINGA
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11.02.2019 saa 10:00 jioni.
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.