Vacancy title:
Dereva Mitambo Daraia II
Jobs at:
Iringa Municipal CouncilDeadline of this Job:
06 October 2020
Summary
Date Posted: Monday, September 28, 2020 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA
(Barua zote zielekezwe Kwa Mkurugenzi wa Halmashaurl)
Kumb. Na. IMC/S.20/VOL.I/20
Tarehe 23l09l2O2O
TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa amepokea kibali cha Ajira Mbadala chenye kumb Na.Fa170/363/0A”TEMP’/133 cha tarehe 18 Agosti, 2020. Ili kuziba nafasi hizo Mkurugenzi anawatangazia watanzania wote wenye sifa na umri wa miaka 18 hadi 45 kuomba nafasi hizo .
Majukumu ya kazi
Kuendesha mitambo chini ya usimamizi wa Dereva lYitambo mwenye uzoefu.
Job Skills: Not Specified
Sifa za Waombaji
Kuajiriwa wenye cheti cha Kidato IV ambao wana Leseei Daraja la'G'ya kuendesha mitambo na ujuzi wa kutunza vyombo mbalimbali vya mitdrhbo hiyo, wenye uzoefu wa kuendesha mitambo kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) bila kusababisha ajali.
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
Work Hours: 8
{module 312}
Job application procedure
MASHARTI KWA UJUMLA
• Mwombaji lazima awe raia wa Tanzania na awe tayari kufanya kazi katika Idara yoyote atakayopangiwa
• Mwombaji awe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
• Mwombaji aambatishe maelezo yake binafsi (Cvi
• Mwombaji aambatishe nakala ya vyeti vya uendeshaji magari (Taaluma) vyeti vya Kidato cha IV, Cheti cha Kuzaliwa na picha mbili za rangi za hivi karibuni na ziandikwe majina kwa nyuma, nakala hizo zithibilishwe na Hakimu au Wakili.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 06 Octoba, 2020 Saa 9:30 Alasiri.
Maombi hayo yatumwe kwa anwani ifuatayo;-
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA,
s.L.P. 162,
IRINGA.
All Jobs
{module 316}
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.