Doctor III Job at Newala City Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1551 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Doctor III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Health Professionals ]

 

Jobs at:

Newala City Council

Deadline of this Job:
26 February 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Newala , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, February 19, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
HALMASHAURI YA MJI NEWALA
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI (LINARUDIWA)
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa kutuma maombi kwa kazi ifuatayo: MTENDAJI WA KIJIJI III .

KAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI WA KIJIJI:
• Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
• Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao
• Kuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala bora katika Kijiji.
• Kuratibu na kusimamia upangaji na utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji
• Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
• Kutafsiri na kusimamia/Sera, Sheria na Taratibu katika Kijiji
• Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na
• kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa
njaa,umaskini na kuongeza uzalishaji mali.
• Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya Kitaalam katika Kijiji
• Mwenyekiti wa kikao cha Wataalamu waliopo katika Kijiji
• Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi
• Kusimamia utungaji wa Sheria Ndogo za Kijiji.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI: Mwombaji awe amefaulu kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliyefuzu mafunzo ya Astashada Cheti "NTA Level 5" katika fani zifuatazo:Utawala,Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Jamii kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


MSHAHARA: Cheo cha Mtendaji wa Kijiji daraja la III kina Mshahara wa TGS B kwa mwezi.


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45 • Mwombaji aambatanishe cheti cha kuzaliwa
• Mwombaji ambaye ni Mtumishi wa Umma apitishe barua yake ya maombi kwa Mwajiri wake.
• Mwombaji aambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika pamoja na namba zao za simu.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya elimu na taaluma kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
• "Testmonials" Provisional results", Statement of results" nk hazitakubalika.
• Waombaji waweke picha moja ya" passport size” katika barua zao za maombi.
• Waombaji wote ambao wamesoma nje ya Nchi wahakikishe vyeti vyao vinafanyiwa ulinganishi na TCU na NECTA.
• Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 26/02/2020 saa 9.30 alasiri X. Barua zote zitumwe kwa anuani iliyopo hapa chini.
MKURUGENZI WA MJI,
HALMASHAURI YA MJI,
S.L.P. 39, NEWALA.
Andrew Frank Mgaya,,
MKURUGENZI WA MJI,
NEWALA.
Nakala:-
Katibu,
Ofisi ya Rais,
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa umma,
Jengo la Utumishi,
8 Barabara ya Kivukoni,
S.L.P. 63100, 11404 DAR ES SALAAM.
Tovuti ya Halmashauri, www.newalatc.go.tz


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Health/ Medicine jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 26th February 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 19-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 19-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 20-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.