Vacancy title:
Driver
Jobs at:
Mount Everest SchoolDeadline of this Job:
22nd May 2019
Summary
Date Posted: 8th May 2019 , Base Salary: Not Disclosed
JOB DETAILS:
Description Shule ya Msingi Mount Everest iliyopo Mpiji Mbweni inakaribisha maombi ya kazi ya udereva kutoka kwa Watanzania wenye sifa zinazotakiwa ili kujaza nafasi ya udereva. .
Sifa za muombaji
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe anajua kuongea na kuandika lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.
• Awe amepata mafunzo ya udereva kutoka katika chuo cha usafirishaji kinachotambulika na serikali.
• Muombaji anatakiwa awe na leseni daraja C.
• Muombaji awe na umri usiozidi miaka 40.
• Awe na uzoefu wa kazi ya udereva kuanzia miaka 3 katika taasisi zinazotambulika.
Job Responsibilities: Not Specified
Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified
{module 312}
Job application procedure
Click Here to Apply https://www.zoomtanzania.com/
All Jobs
Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.