Head Master / Headmistress Jobs at Mkuza Girls Secondary School - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1864 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Head Master / Headmistress

[ Type: FULL TIME , Industry: Education, and Training , Category: Education, and Training ]

 

Jobs at:

Mkuza Girls Secondary School

Deadline of this Job:
10th December 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, December 04, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Summary SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA MKUZA inatafuta MKUU WA SHULE haraka! .

MAELEZO JUU YA KAZI NA UWAJIBIKAJI
• Atawajibika kwa Naibu Katibu Mkuu Huduma za Jamii
• Atakuwa Mkuu wa Shule, ·
• Atakuwa Muwajibikaji na Mtendaji Mkuu kwa Mambo yote ya Shule na Katibu wa Bodi ya shule.
• Atasimama na kutekeleza Maagizo na Maelezo ya Bodi, Dayosisi na Serikali.
• Atakuwa Muitishaji wa vikao vya Bodi, Walimu, Watumishi, na vingine vyote kwa mujibu wa kanuni na Matakwa Madaraka yake.
• Atakuwa Msimamizi wa utekelezaji wa Sera ya Elimu na miongozo ya Dayosisi.
• Atakuwa Mtafsiri na Msimamizi wa Utekelezaji wa Ndoto ya Dayosisi na ya Elimu Kitaifa.
• Atakuwa Mdhibiti Mkuu wa Mapato na Matumizi ya shule.
• Atakuwa kiungo kati ya Wazazi/Walezi, Wanafunzi, Walimu na Watumishi.
• Atakuwa Msimamizi wa Uandaaji na utekelezaji wa Mpango Mkakati wa shule.
• Atakuwa Msimamizi na Mboresheji wa Miundo mbinu ya shule.
• Atasimamia Maslahi ya Dayosisi wakati wote wa Utumishi wake.
• Atafanya kazi nyingine yoyote atakayoagizwa na Bodi au Mmiliki wa shule

Job Skills: Not Specified


  SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe na Shahada ya kwanza ya Elimu au Shahada ya uzamili ya Elimu
• Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika nafasi ya Mkuu wa Shule/Makamu Mkuu wa Shule/Mwalimu wa Taaluma
• Awe na umri kuanzia miaka 40
• Awe ni Mwanamke


Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  TARATIBU ZA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yaambatanishwe na vyeti vya Taaluma
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10 Disemba 2019
MAOMBI YATUMWE KWA:
KATIBU MKUU KKKT: DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI Luther House Building, P.O.Box 837, DAR ES SALAAM.
Email: info@elctecd.org


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Education/ Academic/ Teaching jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 10th December 2019
Duty Station: Tanzania
Posted: 04-12-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 04-12-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 05-12-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.