Karaniwa Fedha Job at Lulu Sacco’s Ltd - Career Opportunity in Tanzania
Website :
2375 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Karaniwa Fedha

Jobs at:
Lulu Sacco’s Ltd,

Deadline of this Job:
18/07/2018 saa 9.00

Duty Station:
Tanzania

JOB DETAILS:
CHAMA CHA USHIRIKA AKIBA NA MKOPO LULU SACCOS LTD,

Bodi ya charna cha ushirika wa akiba na mikopo Lulu (Lulu Saccos Ltd) MBR737 kilichopo Jiji la Mbeya maeneo ya Soweto kata ya Ruanda kinatoa tangazo la kazi kwa nafasi zifuatazo:

4. KARANIWA FEDHA NAFASI -1 (Finance)

SIFA(QUALITY)

  • Awe na umri kuanzia miaka 23 hadi 35
  • Awe na Elimu ya Sekondari
  • Awe na stashahada ya uhasibu, ushirika na fedha kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali
  • Awe ni mtanzania anayeishi katika Jm la Mbeya
  • Awe hajawahi kupatikana na kosa la Jinai
  • Awe ni mtu wa kujituma
  • Awe ni mtu anaiisirnarnia rnwenyewe
  • Awe anajua kutumia komputa
  • Awe ni mzaliwa wa mkoa wa Mbeya

B KAZI (work)

  • Kutunza na kuangalia wakati wote kasiki la chama
  • Kutunza vitabu vya fedha
  • Kupokea fedha taslirnu
  • Kulipa malipo rnbalimbaii
  • Kufanya malinganisho ya fedha ya kila siku kwa kushirikiana na mhasibu rnsaidizi
  • Atawajibika kwa mhasibu msaidizi
  • Kuhakiki hati za benki kabla ya kukatia stakabadhi
  • Atafanya kazi zingine zozote atakazopangiwa na mwajiri wake
  • Kuandaa taarifa za fedha za kila siku
  • Awe ni mzaliwa wa rnkoa wa Mbeya.

KAZI HII NI YA KUJITOLEA KWA HUDA WA MIEZI HITANO (5) BAADA YA HAPO ATAAJIRIWA KAMA ATAKUWA AHEKIDHI VIGEZO

Job application procedure

  • Mwombaii anatakiwa kuarnbatanisha picha mbili passport size
  • Mwombaji atatakiwa kuarnbatanisha vivuli vya vyeti vya kuzaiiwa na vya masomo
  • Mwombaji aambatanishe CV yake wakati wa kuomba kazi
  • Mwombaji aonyeshe mawasilisano yake bayana
  • Mwombaji atakayefaulu kwa awamu ya kwanza ataitwa kwenye usaili
  • Mwornbaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
  • Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
  • Maombi yatumwe kwa :
    -
    MWENYEKITI WA BODI
    CHAMA CHA USHIRIKA WA AKIBA
    NA MIKOPO LULU
    S. L. P. 3467
    MBEYA.

  • Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe
    18/07/2018 saa 9.00 alasili (afternoon)

IMETOLEWA NA HWENYEKITI WA CHAMA

Job Info
Job Category: Accounting/ Finance jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 18 July 2018 saa 9.00
Duty Station: Tanzania
Posted: 21-06-2018
No of Jobs: 1
Start Publishing: 21-06-2018
Stop Publishing (Put date of 2030): 21-06-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.