Katibu Mahsusi III Job at Biharamulo District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1998 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Katibu Mahsusi III

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Governmentt ]

 

Jobs at:

Biharamulo District Council

Deadline of this Job:
17th July 2019  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, July 04, 2019 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
  Kumb. Na. BDC/4/32/183
TANGAZO LA KAZI
Wananchi Wote, TANZANIA BARA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo anawatangazia wanachi nafasi za kazi kama ifuatavyo: Katibu Mahsusi III.

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
• Awe amehitimu na kufaulu Elimu ya kidato cha nne.
• Awe amehudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu.
• Awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika
• moja na awe amepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Masharti ya Kazi:
• Kazi hii ni ya masharti ya kudumu na malipo ya uzeeni
• Kazi hii ina ngazi ya mshahara TGS B kwa viwango vya Serikali.

Job Skills: Not Specified

Job Education Requirements: Not Specified

Job Experience Requirements: Not Specified

 

{module 312}

Job application procedure
  MASHARTI YA JUMLA.
Mwombaji anatakiwa kuambatisha:
• Nakala za vyeti vya mafunzo
• Maelezo binafsi (Curriculum Vitae)
• Picha ndogo za rangi mbili (2) za mwombaji za hivi karibuni.
• Cheti cha kuzaliwa.
N.B. Maombi yote yatumwe kupitia posta kwa anuani ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya S.L.P 70, Biharamulo.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17/7/2019 saa 9:30 alasiri
Wende I. Ng'ahala
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
BIHARAMULO


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

 

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 17th July 2019
Duty Station: Biharamulo
Posted: 04-07-2019
No of Jobs: 1
Start Publishing: 04-07-2019
Stop Publishing (Put date of 2030): 04-07-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.