Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Job at Tanzania Local Government Workers Association (TALGWU) - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1676 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Management ]

Jobs at:

Tanzania Local Government Workers Association (TALGWU)

Deadline of this Job:
20 June 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, June 09, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Chama Cha Wafanyakazi Wa Serikali Za Mitaa Tanzania (TALGWU) Tangazo La Nafasi Za Ajira Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) anawatangazia nafasi ya Ajira kama ifuatavyo: .

KAZI ZA KUFANYA
• Kutunza na kuhakiki mfumo wa hifadhi Data
• Kutoa huduma za hifadhi Data kwa watumiaji.
• Kutengeneza kiunganishi kati ya hifadhi Data na Programu tumizi (Develop back – end and front – end connectivity)
• Kusanifu, kutengenéza na kufanya majaribio ya Programu za hifadhi – Data (Design, Implement and test Data Base).
• Kuweka usalama wa hifadhi Data ( Implement Security and access control into database)
• Kufanya majaribio ya vifaa vya mtandao wa kompyuta (Test network equipment and devices)
• Kusimamia utekelezaji wa maelekezo ya usalama wa mtandao kwa mujibu wa miongozi ya usalama wa mtandao wa kompyuta, (Implement network security guide lines)
• Kufanya kazi nyingine atakazo pangiwa na Mkuu wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
3.0 NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
• Waombaji wenye sifa zilizotajwa watume maombi yao kwa:
• Katibu Mkuu, Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), S. L. P. 16097, DAR ES SALAAM

Job Skills: Not Specified


Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) anawatangazia nafasi ya Ajira kama ifuatavyo:
UZOEFU
• Kuajiriwa mwenye shahada ya kwanza au Stashahada ya juu ya kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya kompyuta, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Menejimenti ya Mifumo ya Habari au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii.
• Awe na uzoefu wa kufanya kazi si chini ya miaka mitatu
• Awe na Ufahamu zaidi wa mifumo ya kutunza Takwimu (Data Base)
• Awe na umri usiozidi miaka 45

Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
  NB. Barua zote za Maombi ni lazima ziambatanishwe na Wasifu (CV) wa muombaji, picha moja ya Passport size ya hivi karibuni. Na nakala zilizothibitishwa za viwango vya ufaulu na vyeti vya taaluma. Majina matatu ya Wadhamini yaonyeshe anuani na namba zao za simu.
Maombi yatumwe kwa njia ya posta.
Pia Tangazo hili linapatikana kwenye tovuti ya TALGWU Www.talgwu.or.tz  .
Mwisho wa kutuma maombi ni siku kumi na nne (14) tangu tarehe ya tangazo hili


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Management jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job:  20 June 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 09-06-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 09-06-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 09-06-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.