Kumbukumbu II Job at Geita Town Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1447 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Kumbukumbu II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Geita Town Council

Deadline of this Job:
04 February 2021  

Duty Station:
Within Tanzania , Geita , East Africa

Summary
Date Posted: Tuesday, January 26, 2021 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita anawatangazia nafasi ya kazi na anakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa ya Mtunza Kumbukumbu Msaidizi Daraja la II kama ilivyoorodheshwa katika tangazo hili: .

MAJUKUMU YA KAZI
• Kutafuta kumbukumbu, nyaraka, mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
• Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu au nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu au nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (Classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
• Kuweka na kupanga kumbukumbu na nyaraka katika reki (File racks/cabinets) katika masjala au vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka nk.)
• katika mafaili. Kushughulikia maombi ya kumbukumbu na nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
• Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea.
• Awe na cheti cha kuzaliwa.
• Awe na umri wa kuanzia miaka 18 hadi 45.
• Muombaji awe na vyeti vya taaluma kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali.


Job Education Requirements: Not Specified


Job Education Experience: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA
• Awe raia wa Tanzania.
• Awe na umri wa kuanzia miaka 18 hadi 45.
• Waombaji waambatanishe maelezo binafsi (Detailed CV) yenye anuani ya Posta na namba ya simu ya kuaminika ikiambatana na majina ya wadhamini watatu (3)
• Maombi yaambatanishwe na nakala za cheti cha kuzaliwa, vyeti vya
• kuhitimu mafunzo ya Mtunza Kumbukumbu na vyeti vya kidato cha Nne vilivyodhibitishwa na Mwanasheria.
• Muombaji aambatanishe picha ndogo ya rangi (passport size) ya hivi karibuni. Testimonials, Provisional results, Statement of results na hati za matokeo ya kidato cha nne na sita (form VI and form IV result slips) HAVITAKUBALIWA.
• Waombaji waliosoma elimu ya kidato cha nne (4) nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimekaguliwa na kuthibitishwa na mamlaka husika (NECTA).
• Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kwa Kibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.

NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya mshahara TGS B kwa mwezi.

OUTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 04/02/2021 saa 9:30 alasiri. Maombi yatumwe kwa njia ya Posta kwenda kwa Mkurugenzi, Halmashauri ya Mji, S.L.P 384 GEITA. Waombaji watakaokidhi vigezo watajulishwa kwa njia ya simu na matangazo ili kuweza kuja kwenye usaili.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 04 February 2021
Duty Station: Tanzania
Posted: 26-01-2021
No of Jobs: 1
Start Publishing: 26-01-2021
Stop Publishing (Put date of 2030): 26-01-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.