Mashine Operator/Fundi Mitambo Job at Chawakim Cooperative Society Limited - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1778 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Mashine Operator/Fundi Mitambo

[ Type: FULL TIME , Industry: Financial Services , Category: ]

 

Jobs at:

Chawakim Cooperative Society Limited

Deadline of this Job:
02 March 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Dar es Salaam , East Africa

Summary
Date Posted: Thursday, February 27, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
Job Summary Chama kinatafuta Machine Operator/fundi mitambo wa mashine za kuhifadhi za kuzalisha maziwa. .

MAJUKUMU YA KAZI
• Atafanya usafi wa jumla wa mashine(CIP) kwa muda usiopungua nusu saa
• Kuangalia hali ya mashine kabla ya uzalishaji kwa mfano kuangalia Oil,kutoa unyevu kwenye compresa, kuangalia uzima wa heater na pump, kuangalia mfumo wa umeme kama upo sawa.
• Kuhakikishwa vyombo vyote vimesafishwa kwa maji ya moto yaliyochemka.
• Kuhakikisha kuwa kwenye mashine hakuna sehemu inayovuja maji au maziwa
• Awe na uzoefu wa kwenye kiwanda cha maziwa kwa miaka 3.
• Kufanya service ya mashine kulingana na ratiba
• Kushirikiana kwa karibu na afisa uzalishaji ili kuhakikisha kuwa bidhaa inayozalishwa inakidhi viwango.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MACHINE OPERATOR
• Awe na elimu ya O’level
• Awe na mafunzo ya VETA katika fani ya umeme/Refrigiration
• Awe na uzoefu wa kiwanda cha maziwa usiopungua miaka 3.
• Awe mwaminifu na mwadilifu
• Mchapakazi na anayejituma
• Awe tayari kufanya kazi wakati wowote atakapohitajika
• Awe na ushirikiano na wafanyakazi wenzake


Job Education Requirements: Not Specified


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MASHARTI YA JUMLA KWA NAFASI ZOTE ZA KAZI
• Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania
• Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa
• Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika, Barua iliyoandikwa kwa mkono na kusainia.
• Maombi yote yaambatane na nakala za vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika, Vyeti vya kitaaluma (Professional Certificate from respective Board)
• “Testmonials” “Provisional Results”, “Statement of results” hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA
• Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU, NECTA, na NACTE)
• Mwombaji atakayeitwa kwenye usaili aje na vyeti halisi siku ya usaili
• Mwombaji atajigharamia mwenyewe wakati wa usaili
• Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kughushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
• Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu ulioainishwa katika tangazo hili HAYATAFIKIRIWA
• Maombi yote yatumwe kupitia anuani tajwa hapa chini

MWENYEKITI WA BODI
CHAWAKIM COOPERATIVE SOCIETY LTD
S.L.P 30871,
KIBAHA TANZANIA.
E mail: chawakim@yahoo.com 
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 02 March 2020 saa sita usiku.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Technician jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 2nd March 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 27-02-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 27-02-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 27-02-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.