Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La II Job at Kiteto District Council - Career Opportunity in Tanzania
Website :
1520 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook

Vacancy title:
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La II

[ Type: FULL TIME , Industry: Public Administration, and Government , Category: Civil & Government ]

Jobs at:

Kiteto District Council

Deadline of this Job:
16 November 2020  

Duty Station:
Within Tanzania , Kiteto , East Africa

Summary
Date Posted: Wednesday, November 11, 2020 , Base Salary: Not Disclosed


JOB DETAILS:
TANGAZO LA KAZI MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KITETO ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI YA KAZI IFUATAYO:
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja La II .

KAZI NA MAJUKUMU:
• Kutafuta kumbukumbu / nyarakal majalada yanayohitajika na wasomaji • Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu wa nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi kulingana na somo husika (Classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya ofisi.
• Kuweka/ kupanga kumbukumbu / nyaraka katika reki, katika Masjala vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu (barua, nyaraka) kwenye majalada.


Job Skills: Not Specified


SIFA ZA MWOMBAJI:
• Awe na Elimu ya Kidato cha Nne (Form IV)
• Awe amehitimu Mafunzo ya Astashahada/ Cheti cha Utunzaji wa Kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi.


MSHAHARA: Ngazi ya Mshahara wa Serikali ni TGS B kwa mwezi.


Job Experience Requirements: Not Specified


Work Hours: 8

 

{module 312}

Job application procedure
MAELEZO YA JUMLA NA UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI:
• Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45.
• Waombaji wote waambatanishe na nakala za vyeti vya elimu, taaluma, cheti cha kuzaliwa na picha ndogo mbili za rangi (passport size).
• Waombaji wote waaambatanishe na maelezo binafsi yaliyojitosheleza na yawe na anuani na namba ya simu.
• Waombaji waliosoma nje ya nchi waambatanishe uthibitisho wa vyeti vyao kutoka Baraza na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
• Waombaji watakaoitwa kwenye usaili watatakiwa waje na vyeti halisi (Original Certificates).
• Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:

Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto,
S.L.P 98,
KITETO.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/11/2020 saa 9:30 Alasiri.


All Jobs

QUICK ALERT SUBSCRIPTION

{module 316}

Job Info
Job Category: Government jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: 16 November 2020
Duty Station: Tanzania
Posted: 11-11-2020
No of Jobs: 1
Start Publishing: 11-11-2020
Stop Publishing (Put date of 2030): 11-11-2065
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.